Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Uislam huu ambao mwanamke ni takataka? Wacheni upuuzi wenu hapa.......we umeona wapi mtu anaoa akiwa na nyege tu, zikimtoka anatoa talaka kwenda kujichukulia mwingine amchafue mavuzi.

Acheni kudanganywa kwenye majukwaa na WAJINGA ambao wanawapa tafsiri ya Quran wanayotaka kuisikia
Umeandika habari feki wala haipo kwenye Quran, ila ni hadithi na hiyo hadhi ukisoma mbele kidogo tu ilikanusha hiyo habari ya ndoa za muda ila watu hukopy huo mstari wa kwanza na kudanganya watu

Endelea kidogo kusoma hiyo hadithi ulipo pata huo ujumbe utakuta hivi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
 
Shida yenu yenu mnasoma nusunusu ili kupata ujumbe mliokusudia
Endelea kusoma hiyo hadithi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
Hakuna mtu anasoma nusu nusu wewe mwanzo ulibisha mutah , nimeweka ushahid unakuja na story zingine, alie ruhusu mutah ni Allah na kwenye koran hakuna verse ya kukataza
Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119
 
Sio sawa mfano uliotoa, nimeweka verse ile ile moja ,
Wewe gusa link itakupeleka utasoma, ukisha soma rudi utoe mawazo yako kulingana na ushahid wa waislamu wajuzi kuliko wewe

fuata link ,
 
Shida yenu yenu mnasoma nusunusu ili kupata ujumbe mliokusudia
Endelea kusoma hiyo hadithi.....
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
Muhammad alikuwa anazuia ,anaruhusu anazuia , ila mpaka kafa ruhusa ilikuwepo na kipindi mpaka cha umar walikuwa wanachukua mwanamke kwa ndoa ya siku tatu
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
Ingia hapa pia utakuta maneno Jalal - Al-Jalalayn "Such wives as you enjoy thereby, and have had sexual intercourse with, give them their wages"
uki enjoy sex unalipia?

walikuwa wanalipia kwa kutoa unga na vitu vingine
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger..... Sahih Muslim 1405d
 
Naomba unielewe hivi, hicho kitu kilikuwepo (kwenye hadithi) lakini kilifutwa wazi wazi na sio kwa kuunga unga.
Endelea kusoma hiyo hadithi verse chache mbele usichukulie tu huo mstari unaokupendeza
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
 
Naona umeishiwa hoja sasa unaleta ubishi , muhammad alikuwa anaruhusu na kukataza mwisho anakufa kina umar bado walikuwa wanapiga Mutah
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c

Nataka nijue kwanza kwa nini unapinga mutah kwa nguvu sana , unaionaje?
 
napinga kwa sababu
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
 
napinga kwa sababu
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
Sababu za wewe kuichukia mutah ni nini? embu to ata moja
Nimekwambia muhammad alikuwa anazuia na kuruhusu, amekufa alikuwa hajazuia ilikuwa inaendelea
alafu Koran 4:24 bado ipo na hakuna aya ya kuipinga,

Ushahidi huu hapa walikuwa wanaendelea na mutah baada ya kifo cha muhammad
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c

Koran 4:24 Jalal - Al-Jalalayn
.... Such wives as you enjoy thereby, and have had sexual intercourse with, give them their wages, the dowries that you have assigned them, as an obligation; you are not at fault in agreeing together, you and they, after the obligation, is waived, decreased or increased. ....
 
mimi nachukia kitu kilichokatazwa; Nilazima nijitofautishe na wale wanao lazimisha tafsiri za kujihalalishia yaliyokatazwa.
Kama wale wala Nguruwe nk
Sitaki kuwa kwenye lile kundi la " WATU WANGU WATA ANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA"
Abu `Abdullah (Al-Bukhari) said: `Ali made it clear that the Prophet said, "The Mut'a marriage has been cancelled (made unlawful).
 
UNA AKILI SANA
 
Unafikiri kwa nini ilikatazwa?

Kwa nini Umar bado alikuwa anaiendeleza?
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
Unafikiri kwa nini ilikatazwa?

Kwa nini Umar bado alikuwa anaiendeleza?
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c

I am not interested to go ahead with this discussion, Sorry!!!
 
Umekuta mutah ni fedhea tupu, Mungu wa kweli hawezi ruhusu jambo kama hilo

tumemaliza
kwa sababu hutaki kuamini kuwa ilibatilishwa, endelea na majibu unayojiaminisha kuwa ndio sahihi
Wanasema sikuzote ukibishana mambo ya msingi na mtu mwenye majibu yake kichwani ni kujipotezea muda
Wewe endelea tu kuamini kuwa Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu; utakuja kujua mbivu na Mbichi Yesu atakapo kuruka kuwa hayo hayakuwa mafundisho yake!!!
 
Nilikwambia Muhammad amekufa mutah ilikuwa inaendelea
soma hadith hii
....Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c

Mutah ni fedhea kubwa sana kuusisha jambo kama hilo na Mungu, Mungu wa kweli hawezi kuruhusu kuchukua mwanamke kwa siku tatu ufanye sex na ulipie ni jambo la fedhea kubwa sana,

Tunaambia ata kumtazama mwanamke kwa kumtamani ni uzinzi wa moyoni
Biblia inasema Mathayo 5:27 BHN “Mmesikia kwamba watu waliambiwa: ‘Usizini!’ 28Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.
 
Huyu jamaa nadhani ni katika wale wanaoitwa "mustashriqiin" wanaousoma uislamu kwa ajili ya kuupiga vita.

Sasa kwa kuwa hakuna cha kutumia katika mafundisho ya uislamu ili kuupiga vita, basi wanaamua kutumia uongo ili kupotosha.

Hiyo hadhithi anayoitumia.
1.Ameisoma nusu, maana mwishoni inamuumbua.
2. Hiyo hadhithi ipo katika mlango wa (uharamu wa ndoa ya mutaa') katika sahihi Al-Bukhari.

Lakini yeye anaitumia hadhithi hiyohiyo kueneza baatwil zake.

Sasa mtu kama huyu ni hatari sana kwa mjinga.

Na huyu jamaa namfananisha na kiazi mwingine alikuwa akijiita Citizen B
 
Kwa nini Allah aruhusu kuchukua mwanamke siku tatu na umlipe?
 
Kwa nini Allah aruhusu kuchukua mwanamke siku tatu na umlipe?
Kuificha haki (maneno ya Allah) kuna maana mbili.

1. Kuificha kabisa isijulikane na watu.

2.Au kudhihirisha maneno na kibadilisha maana.

Hiki ndicho unachokifanya.

You are the REAL ENEMY OF ISLAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…