Kwa hiyo Allah kaona mwanaume anatoa mahari ndio akasema wanawake wapigwe, aiseeeMada ilikuwa ndoa wewe ndio rudi kwenye mada.Wanaume wanatoa mahari hata kwenye dinl yako!Umejiuliza kwanini wanawake hawatoi mahari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Allah kaona mwanaume anatoa mahari ndio akasema wanawake wapigwe, aiseeeMada ilikuwa ndoa wewe ndio rudi kwenye mada.Wanaume wanatoa mahari hata kwenye dinl yako!Umejiuliza kwanini wanawake hawatoi mahari?
Upo sahihi,,Uislam ni mwepesi sana ukiusomaMkuu hata hilo suala la mirathi lipo simple mno sababu ugawaji wa mirathi ushaelezwa nani wa kupata nani wa kukosa na nani atapata kiasi gani na nani atapata kisi hiki
Ukiona mgogolo katika mirathi ya UISLAM basi hao wapo nje ya SHERIA yDINI na hata mzee wao aliishi NJE ya DINI
Hapo ndipo unaonyesha udhaifu wako.Quran ina tafsiri .Inatafsiriwa.Kwenye Quran Mwenyezi Mungu kaamuru waislamu waswali sala 5 lakini namna ya kusali hizo Sala imetafsiriwa kwenye hadithi.Allah kasema wapigeni , wapigweje ni wanadamu ndio wanaongezea kwenye Koran hakuna
Mimi ni Mkristo, lakini kama kweli kuna aya ya Quran inasema hivyo basi ni sahihi sana.Rudi kwenye mada , kwa nini wanawake wa kiislam allah karuhusu wapigwe, na kwa nini hakusema na wanaume wapigwe
Uwezo wako wa kufikiri mdogo nimesema wapigwe kwa sababu wanaume wanatoa mahari?Kwa hiyo Allah kaona mwanaume anatoa mahari ndio akasema wanawake wapigwe, aiseee
Ufafanuzi mzuri sana,, kama bado kuna anaesema uislam unakandamiza wanawake ni mpumbavuSio kweli mkuu
MWANAMKE katika UISLAM amepewa DALAJA la KWANZA kwa kila kitu au wazungu wao wanasema LADIES FIRST
mwanamke katika UISLAM amenyimwa UONGOZI tu
mfn:-
Mwanamke katika UISLAM ndie anataja mahari na ni yake hiyo MAHARI
Mwanamke wakati wa NDOA ndio anaazwa kuulizwa kama amekubari kuolewa na akikataa hakuna NDOA
mfn ataulizwa kwann umekataa usiolewe akasema mimi sijapewa mahari yangu basi hapo ndoa haifungwi mpk baba alokula maharai ya bint yake ampe ndo NDOA ifungwe
Mwanamke wa kiislam katika NDOA kazi yake ni mbili kujiremba kwa ajili ya mumewe na kumtanulia miguu aingie kati
na hata akikuzalia mtoto kumlea na kumnyonyesha ilipaswa umlipe hayo mambo ya kupika na kufua kama huwezi inapaswa wewe umtafutie mjakazi
mwanamke katika NDOA ya uislam kupika sio kazi yake wala kukufulia
ndio mana inasemwa kilaanapompikia mumeo na kumfulia unapata thawabu mara 100 zaid
Nimekueleza hayo machache tu
lkn yapo kedekede yanayomfanya MKE katika uislam aishi kama mfalme
na MWANAMKE katika uislam thamani yake iwe juu kam lulu
na ndio maana wakaambiwa wataingia mlango wa PEPO waitakayo
katika UISLAM pepo zina madaraja kwa ubora wake kama unavyoona hotel nyota 3 nyota 4 nyota 5 basi pepo nazi zipo hivyohvyo
sawa wanawake wa kiislam waliolewa wameahidiwa wataingia katika pepo wazitakazo wenyewe watakavyopenda
ikiwa watafanya mambao haya matatu
1. akamtii MUMEWE
2.Akaswali sala 5
3.akafunga ramadhani
basi wataingia katika pepo yoyote ile waitakayo
Ukiona MWANAMKE wa KIISLAM ananyanyasika basi ameyataka mwenyewe
kwa upumbavu wake na kuivunja NDOA yake mwenyewe
Issue kubwa nilikuwa namuuliza mubarrid ambae alidai wanawake wanathaminiwaMada ilikuwa ndoa wewe ndio rudi kwenye mada.Wanaume wanatoa mahari hata kwenye dinl yako!Umejiuliza kwanini wanawake hawatoi mahari?
Kumbe ulimskia yaan matakwa ya Padri na sio biblia day so sadNilimsikia padri mmoja amelitolea ufafanuzi kwamba ndoa katoriki haina talaka ila kama mmoja wao kufumaniwa wanakaa kwenye usuluhishi na kama kila mtu akila 50 zake huruhusiwi tena kuona hadi mmoja wapo afariki
Hata kama mume au mke atakuwa apigi shoo vizuri lazima umvumilie tu ndio kauli ile ya kwenye shida na raha tabu na magonjwa inapotumika
Hilo nimemaliza , mwanamke wa kiislamu Allah karuhusu upewe kipondoUwezo wako wa kufikiri mdogo nimesema wapigwe kwa sababu wanaume wanatoa mahari?
Ilikuwa food for thought maskini ya Mungu ukashindwa kuelewa!!
Nacheka Sana , mnapo nishangaza huwa mnakataa maandiko yenu mchana kweupe, Yani huyo mwenzako kaona nimembana kwa maandiko kaamua ayakataeUyo jamaa ni mjinga sana uyo m hua simjibu lolote
Usilie pangua hoja, maandiko yote nimeweka na reference kama ni tafsir nimeweka mpaka ni ya nani, Hadith pia nimeweka kitabu na Hadith number , hakuna andiko langu hata moja hapo maandiko nimetoa kwenye authentic source ya waislamu , Hadith nimetoa Sunnah.com na tafsir nimetoa kwenye website ya Jordan institute of IslamicNilidhani najadiliana na mtu mwenye akili timamu.Hizo tafsiri za uzushi zinajieleza kwamba wewe ni mtu mgonjwa na mwenye chuki ya kidini.
Mimi siwezi hata siku moja kutafuta kashfa kwenye site za kuukashifu Ukristo.Zipo nyingi tu lakini I cannot and will not stoop to your pathetic level.Mwenyezi Mungu akusaidiwe with your low life.
Kwa Hadith ingia hapaNilidhani najadiliana na mtu mwenye akili timamu.Hizo tafsiri za uzushi zinajieleza kwamba wewe ni mtu mgonjwa na mwenye chuki ya kidini.
Mimi siwezi hata siku moja kutafuta kashfa kwenye site za kuukashifu Ukristo.Zipo nyingi tu lakini I cannot and will not stoop to your pathetic level.Mwenyezi Mungu akusaidiwe with your low life.
ikitokea dharula KULA.Wazinz cku zote wana option chief. Mke ni mmoja tu. Hakuna kisingizio. Hao unaosema wanaoa mpaka 4 bado ni wazinz waliokubuhu. Kikubwa unatakiwa kujua Mungu hafuati taratibu zako. Yeye ashaweka utaratibu ukizin ni kosa kuna adhabu. Mtu mzinz hata umpe mabeib wote atataman tu. So sisi wakristo Mungu wetu hakutupa option chief. Ukizin ni moto hata ukitaman ni kosa. Sio nyie mmepewa option eti msile kitimoto ila ikitokea dharura kula kula. Sasa huyo Mungu gan. Dhambi haiwezi kuwa nuru.
Twende taratibu Anza na hii , je ni maandiko yenu au sio yenuMi mwenyewe namshangaa huyu jamaa aya anazotoa na kisa anachoweka havihusiani hata kidogo, anasambaza uzushi.
Umeshakuwa muislamu kwa ku support mwanamke apewe kipondo , Allah ndio kasema mwanamke asipo fanya unayo muelekeza mpe kipigo , ila kwa wanaume kakaa kimyaMimi ni Mkristo, lakini kama kweli kuna aya ya Quran inasema hivyo basi ni sahihi sana.
Mwanamke akizinguwa sometimes ni kichapo tu ndio kinaweza kumrudisha kwenye mstari.
Kwa nini allah kasema wanawake wapigwe, Kuna sehemu ingine allah kasema wanawake wataenda motoni kwa sababu Wana bleed , soma Hadith alafu ndio ujibuUwezo wako wa kufikiri mdogo nimesema wapigwe kwa sababu wanaume wanatoa mahari?
Ilikuwa food for thought maskini ya Mungu ukashindwa kuelewa!!