Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Lazima atachoka tu. Wanaume ndio huwa wahitaji mara nyingi.Kwani anafanya nao wote wanne kwa wakati mmoja si tofauti tofauti.. anaweza vizuri tu kumudu sikuiz wanadanga na kila baada ya masaa matatu analala na mwanaume hawezi shindwa kuwamudu MKUU
Jee akiwa kwenye faradhi zake? Mf. Hedhi au uzazi inakuwa jee? Wanaume wake wanne wakihitaji atawasubirisha mpk amalize eeh?!!!