Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

Kimsingi mwanadamu haridhiki bali anajizuia ndio maana hata kwenye hizo Imani ambazo watu wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja bado Kuna kesi za uzinifu Hali ya kuwa mtu amekamilisha kwa kadri dini yake ilivyomruhusu.......

Kimsingi mwanadamu anatakiwa kuidhibiti nafsi yake dhidi ya matamanio na vishawishi.....asiyeweza kufanya hivyo hata aoe wanawake elfu moja lakini kuwepo tu kwa wanawake wengine tayari kunatia udhaifu nafsini mwake.......

Ndio maana pamoja na kutolewa ruhusa ya kuongeza wake kwa ajili ya kutimiza matakwa ya nafsi bado Kuna adhabu kali sana kwa atakayeshindwa kuidhibiti nafsi yake dhidi ya zinaa.......

Busara kubwa na ukumbusho mkubwa katika nidhamu kwenye mwenendo wa maisha hayo unaletwa na adhabu zilizowekwa kwa waendao kinyume na matakwa ya Mungu kwa kuwa tuna amini kuwa kuna siku ya mwisho na kila kiumbe kitaadhibiwa........
 
Hata kama hujaandika ndoa uji .Kilichokuwa kinajadiliwa ni ndoa. So hakuna hicho ulichoandika mke uji.Kuna wazinzi wana justify uzinzi wao na ku label majina yasiyokuwepo kwenye sheria na taratibu za kisheria za kiislamu.Mada ni ndoa za kiislamu kama umesahau.
Napendaga part ya mke uji wengi huwa wanavuta majiko kipindi hicho na baada ya mwezi majiko yanasambaratika
 
Kwenye Uislamu hakuna Muta'a ila kwa Mashia ipo.
Koran ndio imeandikwa chukua mwanamke uki enjoy mlipe, unataka kusema Koran ni ya mashia , alafu Kuna Hadith pia Allah kamuagiza Muhammad wafanye kununua wanawake mutah
 
Kwenye Uislamu hakuna Muta'a ila kwa Mashia ipo.
We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Muhammad..... Sahih Muslim 1405d

Muhammad's said, "If a man and a woman agree (to marry temporarily), their marriage should last for three nights, and if they like to continue, they can do so; Sahih al-Bukhari 5119

Mpaka muhammad anakufa kwa kulishwa sumu mutah ilikuwa inaendelea
Yani Allah kila dhambi aliitafutia sababu ili aruhusu, Yani umalaya kaona Aite ndoa ya siku tatu , unamuacha unaoa mwingine siku tatu
 
Hatulazimishi mtu kuamini

Inaweza ikawa kweli kwa mwanaume inafaa na kwa mwanamke haifai .. ila mkuu umeshindwa kutetea hoja mkuu na wala si kashfu dini nilitaka nione uwezo wako wa kumshawishi mtu ambaye sio muislam kuingia kwenye uislam lakini naona hauna uwezo wa kutetea hoja.. mkuu.. pole kama ntakua nimekuzubaisha mkuu.
 
Inaweza ikawa kweli kwa mwanaume inafaa na kwa mwanamke haifai .. ila mkuu umeshindwa kutetea hoja mkuu na wala si kashfu dini nilitaka nione uwezo wako wa kumshawishi mtu ambaye sio muislam kuingia kwenye uislam lakini naona hauna uwezo wa kutetea hoja.. mkuu.. pole kama ntakua nimekuzubaisha mkuu..
I am so sensitive kwaio namjibu mtu kulingana na majibu anayoyataka
 
Ukristo gani Catholic au Sabbath?
Bora unisaidie ww mimi ni mkatoriki sijawahi kusikia talaka katika dhehebu langu wakatoliki hatunaga talaka hata kama umeoa mke anamakosa na mapungufu ndio nitolee iyo ndio maana ndoa za kikatoriki zina masharti mengi sana
 
Kuhusu suala la kimaendeleo hapo nakuunga mkono hapo inatakiwa km una wake wa4 kila mmoja unamuanzishia biashara yake inafika hatua wewe inakua msimamizi wa biashara.
 
Natamani sana kama kuna mwanamke wa kiislamu angesema jambo na mkristo pia akasema jambo na awe ameolewa kwa ndoa iwe ya kiislamu au kikristo. I invite them to declare there interest.
 
Bora unisaidie ww mimi ni mkatoriki sijawahi kusikia talaka katika dhehebu langu wakatoliki hatunaga talaka hata kama umeoa mke anamakosa na mapungufu ndio nitolee iyo ndio maana ndoa za kikatoriki zina masharti mengi sana
Kwa dhambi ya uasherati unaruhusiwa kumwacha mwanamke pale inapodhibitika.
 
I am so sensitive kwaio namjibu mtu kulingana na majibu anayoyataka

Hakuna muislam hasiyetaka kuitetea dini yake.. mjanja mjanja tu.. katika mambo yote katika uislam wewe umeona swala la mwanaume kuoa wake wanne tu.. na hii mada ina u Dini ndani yake.. Bisha?
 
Back
Top Bottom