QUR'AN HUWEZI KAMWE KUIFANANISHA BIBLIA KWAKUA QUR'AN IMEKAMILIKA
NAKUPA MFANO HUU MDOGO [emoji116]
MASWALI kati ya QUR'AN na BIBLIA
(majibu Kwa mujibu wa kitabu husika. Neno SIJUI Maana yake hakuna jibu katika kitabu husika)
Unaitwa nani?
Biblia: Sijui.
Qur'an: Jina langu ni qur'ani (Surah 36: 2).
*Umetoka wapi? *
Biblia: Sijui.
Qur'an: kutoka kwa M/MUNGU (Surah 39: 1).
* Dini yako ni ipi? *
Biblia: Sijui.
Qur'an: Uislamu (Surah 3:19).
*Je! Uliwaambia Watu kwenda kuabudu siku za Jumapili/Ijumaa?
Biblia: HAPANA wangu walichagua siku hiyo wenyewe.
Qur'an: Ndio, ninawaamuru Waislamu kwenda msikitini Ijumaa (Surah 62: 9).
Kwanini hauko katika lugha yako ya asili?
Biblia: kwa sababu watu wamefanya mabadiliko mengi ndani yangu.
Qur'an: Niko katika lugha yangu ya asili, Kiarabu na sijaharibiwa (Surah 12: 2).
* Kwa nini una utata mwingi?*
Biblia: kwa sababu nimeandikwa na watu wasiojulikana (Yeremia 8: 8).
Qur'an: Sina Utata wowote kwa sababu nimetoka kwa MUNGU (Surah 4:82).
Je kuna makosa yoyote ya kisayansi?
Biblia: Ndio ninayo kwasababu Nilisema kwamba "Na sungura, kwa sababu hucheua, lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu." Wakati sungura hacheui kabisa (Mambo ya Walawi 11: 6).
Qur'an: Sina kosa hata moja la kisayansi. Uvumbuzi katika karne ya 20 ni kwamba kila nyota na kila kilicho mbinguni kinatembea katika njia yake inayojulikana kama ‘orbit’. Qur’an nilishasema jambo hili kama ifuatavyo: “Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea (katika njia zake maalum).” (Surah 21- 33) kwa hivyo mimi ni zaidi Ya Sayansi ya kisasa
Leta Hoja Za Msingi Sio Porojo
Sent from my TECNO CC6 using
JamiiForums mobile app