Katika suala zima la ndoa, dini ya Kiislamu ipo vizuri

NDio maana nimeweka wazi hao viumbe mpo nao waislamu kwa mujibu wa mafundisho yenu , devil ni companion kwenu
Qareen ni companion wa kila mwanadamu anaezaliwa. Ni miongoni mwa majeshi ya iblis..hutumwa kuandamana na mwanadamu toka anapozaliwa ili kuhakikisha kuwa mwanadamu huyu anapotea...its easy ukweli upo hivyo na hata wewe unapokosea kuna kipindi unaweza kusema shetani kanipitia .Sasa huyo shetani anaekupitia ndio Qareen mwenyewe upo nao, anajua udhaifu na matamanio yako. Kazi yake ni kukupambia uovu (maovu) uone kuwa ni mazuri.
 
Kwako wewe na mafundisho yako ila hapa unauzungumzia uislam .Yaani usitake imani yako( mafundisho yako) yawe sawa na mafundisho ya Uislam (Quran na sunnah

Sema sasa uelimishwe uelewe ..Wewe Uislamu huujui.

It was narrated from ‘Ali (may Allaah be pleased with him) that the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) forbade mut’ah marriage and the meat of domestic donkeys at the time of Khaybar. According to another report, he forbade mut’ah marriage at the time of Khaybar and he forbade the meat of tame donkeys.

Narrated by al-Bukhaari, 3979; Muslim, 1407.
Hii ndoa ilikuwa wakichekwa na wakristo wanapiga marufuku ,wakizidia na roho la uzinzi wanaruhusu tena

Muhammad kafa wanapiga mutah mpaka maisha ya Umar mutah inapigwa kama kawaida

...Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
Ikopi yote hiyo hadith
 
Qareen ni companion wa kila mwanadamu anaezaliwa. Ni miongoni mwa majeshi ya iblis..hutumwa kuandamana na mwanadamu toka anapozaliwa ili kuhakikisha kuwa mwanadamu huyu anapotea...its easy ukweli upo hivyo na hata wewe unapokosea kuna kipindi unaweza kusema shetani kanipitia .Sasa huyo shetani anaekupitia ndio Qareen mwenyewe upo nao, anajua udhaifu na matamanio yako. Kazi yake ni kukupambia uovu (maovu) uone kuwa ni mazuri.
Ila Koran inasema anaempoteza binadamu ni Allah , wewe unapinga hilo?

Pia Allah kapanga wa motoni na bikri 72 toka hawajazaliwa je unapinga hili?
 
Hii ndoa ilikuwa wakichekwa na wakristo wanapiga marufuku ,wakizidia na roho la uzinzi wanaruhusu tena

Muhammad kafa wanapiga mutah mpaka maisha ya Umar mutah inapigwa kama kawaida

...Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
Ndoa ya kimkataba iliharamishwa na Mtume Muhammad s.a.w ila kuna watu kipindi inaharamishwa hawakuwepo makka wala madinah , kuna maswahaba hawakuwa aware juu ya makatazo hayo kutokana na mafundisho kuyokuwafikia kwa wakati kutokana na umbali wa maeneo waliyokuwa .Dola ya uislam ilifika mbali sana mpaka Egypt na fursi (persia) .Ila pindi walipopata mafundisho hayo kuwa Mtume aliharamisha ndoa ya mut'ah basi waliacha mara moja kuifanya ndoa hiyo ya mkataba.

Ushahidi wa hilo upo kwenye mlango huo huo wa hadith uliyoicopy kutoka katika sahih muslim

Jabir bin Abdullah himself says that he stopped practicing Mu'ta when Umar told him that Prophet Muhammad (Sallallahu'alayhiwassalam) forbade it:- Abu Nadra reported: While I was in the company of Jabir b. Abdullah, a person came to him and said that Ibn 'Abbas and Ibn Zubair differed on the two types of Mut'as (Tamattu' of Hajj 1846 and Tamattu' with women), whereupon JABIR SAID: We used to do these two during the lifetime of Allah's Messenger (ﷺ). UMAR THEN FORBADE US TO DO THEM, AND SO WE DID NOT REVERT TO THEM. (Sahih Muslim 1405 e)
 
Hawezi kufanya hivyo kwakua hatokamilisha kazi ya baba Yake
Ndio maana naweka Hadith number bila kificho kabisa ili ukasome , siwezi kujaza maandiko marefu Mimi napiga kwenye point tu , wewe ulibisha mutah mwenzako kakubali
 
Ndoa ya kimkataba iliharamishwa na Mtume Muhammad s.a.w ila kuna watu kipindi inaharamishwa hawakuwepo makka wala madinah , kuna maswahaba hawakuwa aware juu ya makatazo hayo kutokana na mafundisho kuyokuwafikia kwa wakati kutokana na umbali wa maeneo waliyokuwa .Dola ya uislam ilifika mbali sana mpaka Egypt na fursi (persia) .Ila pindi walipopata mafundisho hayo kuwa Mtume aliharamisha ndoa ya mut'ah basi waliacha mara moja kuifanya ndoa hiyo ya mkataba.

Ushahidi wa hilo upo kwenye mlango huo huo wa hadith uliyoicopy kutoka katika sahih muslim

Jabir bin Abdullah himself says that he stopped practicing Mu'ta when Umar told him that Prophet Muhammad (Sallallahu'alayhiwassalam) forbade it:- Abu Nadra reported: While I was in the company of Jabir b. Abdullah, a person came to him and said that Ibn 'Abbas and Ibn Zubair differed on the two types of Mut'as (Tamattu' of Hajj 1846 and Tamattu' with women), whereupon JABIR SAID: We used to do these two during the lifetime of Allah's Messenger (ﷺ). UMAR THEN FORBADE US TO DO THEM, AND SO WE DID NOT REVERT TO THEM. (Sahih Muslim 1405 e)
Umar anapiga marufuku mutah yeye kama nani? , Ndio maana nimekwambia mutah walikuwa wanafanya Muhammad kafa walikuwa wanaendelea nayo

...Yes, we had been benefiting ourselves by this temporary marriage during the lifetime of the Prophet (ﷺ) and during the time of Abu Bakr and 'Umar. Sahih Muslim 1405c
 
spensa_e leta hoja nyingine hiyo ya ndoa ya mut'ah ( ndoa ya kimkataba baada ya mwanamke kupewa mahari yake) imeisha , tafuta hoja mpya tutakujibu kwa vile tutakavyojaaliwa na Allah.

Sheria ya ndoa ya kiislam iliyoendelea baada ya Mut'ah kuharamishwa ni hii ndoa ya sasa hv kuwa ndoa haivunjwi kwa muda. Bali inavunjwa kwa Talaqa....na dhumuni la ndoa ya kiislam sio watu kuoa na kuachana bali ni kujenga familia ili kuweza kumuabudu Mungu vizuri. Ila inapotokea sababu zisizozuilika kwa wanandoa kuachana basi talaqa tath ndio huwaachanisha wanandoa hao. Sawa?
 
Hii issue ni uchafu , alafu ilikuwa ukimaliza shoo ndio unalipia

We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger..... Sahih Muslim 1405d
 
Ha

wezi kuleta mada nyengine maana hana hata uhakika na dini yake.
Ukisoma Bibilia kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, hakuna mkristo kuoa. Hivyo yeye lazima apotoshe ndoa za kiisla maana anaumia kuona waislamu wameruhusiwa kuowa.
 
Mi nafuatilia nashindwa kuelewa.
Waislamu wengine mnakataa kulindwa na Majini.
Wengine mnakubali kulindwa na Majini Maislamu.

Wengine mnasema Shetani ni tabia mbaya ya mtu au Jini.
Wengine mnasema Shetani anakaa kwenye mishipa ya mtu, kuna maandiko ya Hadithi yanasema Shetani anakaa kwenye pua za waumini na wakati mwingine anawapuliza mgongoni.

Sijaelea kwanini wote hamtoi jibu moja.
 
Hii issue ni uchafu , alafu ilikuwa ukimaliza shoo ndio unalipia

We contracted temporary marriage giving a handful of (tales or flour as a dower during the lifetime of Allah's Messenger..... Sahih Muslim 1405d
Ishu ni kuwa mahari ilikuwa ikilipwa na mwanamke ndio anatamka mahari yake! Hata kama akitaka tende tu ,ukimpatia tayari inakuwa ni mahari na ndoa imepita . Sasa kusema uchafu sijui una maanisha nini?
 
Mi nafuatilia nashindwa kuelewa.
Waislamu wengine mnakataa kulindwa na Majini.
Wengine mnakubali kulindwa na Majini Maislamu.

Wengine mnasema Shetani ni tabia mbaya ya mtu au Jini.
Wengine mnasema Shetani anakaa kwenye mishipa ya mtu, kuna maandiko ya Hadithi yanasema Shetani anakaa kwenye pua za waumini na wakati mwingine anawapuliza mgongoni.

Sijaelea kwanini wote hamtoi jibu moja.
Jini ameumbwa kwa Miale ya moto, upo!

Jini au binadamu akiwa muasi, muovu...huitwa Shetani.

Ibilisi ni jini muovu,muasi...ndio maana anaitwa shetani, shetani ni sifa ya uovu/uasi uliopindukia.

Mwili wa binadamu una njia (matundu) , una matundu mengi sana jikague utayaona tu. Jini ni kiumbe aliyepewa uwezo wa kuuingia mwili wa binadamu na kuutalii kama vile damu inavyozunguka kwenye mishipa ya damu. Mtume Muhammad anasema kuwa shetani akiingia kwenye mwili wa mwanadamu anafika mpak kwenye moyo, na Mtu akimkumbuka au kumtaja Allah, shetani hukimbia, ila ukijisahau tu kumtaja Mungu ama kutenda mambo mema, Shetani anarudi tena na kukuchochea uwaze au utende maovu.

Hakuna andiko lolote linalosema kuwa Mungu kawapa majini kazi ya kuwalinda wanaadamu. Upo.

Kama hujaelewa nambie nikufahamishe zaidi
 
Ishu ni kuwa mahari ilikuwa ikilipwa na mwanamke ndio anatamka mahari yake! Hata kama akitaka tende tu ,ukimpatia tayari inakuwa ni mahari na ndoa imepita . Sasa kusema uchafu sijui una maanisha nini?
Ni umalaya , wewe unachukua mwanamke anakaa nae siku tetu kwa kumuhonga tende tu , unamalizana nae unachukua mwingine,

Alafu kumbuka mutah ni Aya ya Koran na hakuna maali popote kwenye Koran Allah alikuja kuifuta ni Hadith na Umar ndio alikuja kupiga marufuku,

Koran 4:24 inazungumzia ndoa ya muda na ulipie ukienjoy ,
 
Neno kuhonga halina mantiki hapo, infact ni neno la kubumba.

Yes kama mwanamke kahitaji mahari yake iwe kilo tano za mchele kwanini usimpe mahari yake na mkaoana.

Mut'ah ni ndoa ya muda mfupi na ya dharura ilikuwa halali mwanzoni uislam unaingia katika Madinah na makkah. Ila baadae ilikuja ikaharamishwa.

Mbona hushangai kipindi cha Adam, watoto wake walikuwa wakioana wenyewe kwa wenyewe na ilikuwa ni halali kabisa. Ila baada ya watu kuongezeka mambo haya yakaja kuwa ni haramu.

So kila Ummah una sheria na mafundisho yake ila lengo kuu toka mwanadamu kuumbwa ni moja tu nalo si lingine bali ni KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU PASI NA KUMSHIRIKISHA NA CHOCHOTE KILE.

Soma amri kumi za Mungu kwa kizazi cha wana wa israel kwenye kitabu cha kutoka.
 
spensa_e ushahidi mwingine huu hapa kuonesha kuwa ndoa ya kimkataba (Mut'ah) iliharamishwa

It was narrated from al-Rabee’ ibn Sabrah al-Juhani that his father told him that he was with the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) who said, “O people, I used to allow you to engage in mut’ah marriages, but now Allaah has forbidden that until the Day of Resurrection, so whoever has any wives in a mut’ah marriage, he should let her go and do not take anything of the (money) you have given them.”

Narrated by Muslim, 1406.
 
Neno kuhonga halina mantiki hapo, infact ni neno la kubumba.

Yes kama mwanamke kahitaji mahari yake iwe kilo tano za mchele kwanini usimpe mahari yake na mkaoana.

Mut'ah ni ndoa ya muda mfupi na ya dharura ilikuwa halali mwanzoni uislam unaingia katika Madinah na makkah. Ila baadae ilikuja ikaharamishwa.

Mbona hushangai kipindi cha Adam, watoto wake walikuwa wakioana wenyewe kwa wenyewe na ilikuwa ni halali kabisa. Ila baada ya watu kuongezeka mambo haya yakaja kuwa ni haramu.

So kila Ummah una sheria na mafundisho yake ila lengo kuu toka mwanadamu kuumbwa ni moja tu nalo si lingine bali ni KUMUABUDU MWENYEZI MUNGU PASI NA KUMSHIRIKISHA NA CHOCHOTE KILE.

Soma amri kumi za Mungu kwa kizazi cha wana wa israel kwenye kitabu cha kutoka.
Hadith ndio imekataza mutah ila Koran Aya ipo na hakuna katazo , sasa tumfuate Umar au Allah ?
 
spensa_e ushahidi mwingine ni huu hapa

It was narrated from ‘Ali that he heard Ibn ‘Abbaas permitting mut’ah marriage, and he said, “Wait a minute, O Ibn ‘Abbaas, for the Messenger of Allaah (peace and blessings of Allaah be upon him) forbade it on the day of Khaybar and (he also forbade) the meat of tame donkeys.”

Narrated by Muslim, 1407

Ibn Abbas hakuwepo katika vita vya khaybar wakati amri hii ya kuharamishwa kwa Mut'ah inatolewa so Ali r.a hapa akamsahihisha na kumfahamisha maelekezo yaliyotolewa
 
Back
Top Bottom