spensa_e leta hoja nyingine hiyo ya ndoa ya mut'ah ( ndoa ya kimkataba baada ya mwanamke kupewa mahari yake) imeisha , tafuta hoja mpya tutakujibu kwa vile tutakavyojaaliwa na Allah.
Sheria ya ndoa ya kiislam iliyoendelea baada ya Mut'ah kuharamishwa ni hii ndoa ya sasa hv kuwa ndoa haivunjwi kwa muda. Bali inavunjwa kwa Talaqa....na dhumuni la ndoa ya kiislam sio watu kuoa na kuachana bali ni kujenga familia ili kuweza kumuabudu Mungu vizuri. Ila inapotokea sababu zisizozuilika kwa wanandoa kuachana basi talaqa tath ndio huwaachanisha wanandoa hao. Sawa?