Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

Ukiwa na Yesu huwezi kuwa masikini.Kuna kwenda kanisani kama hobby,na kuyajua maandiko.Sasa kama wewe unashinda tu kanisani ufanyi Kazi unasubuliwa miujiza bado uyajui maandiko.Maana kufanya Kazi ni ibada.Kutoa sadaka ni agizo na ni ibada pia,kutoa sadaka kuna faida Sana kiroho na kimwili pia kwa muamini.Yesu Kristo ndie chanzo cha positive energy katika maisha yake ya ufanyaji Kazi. Wapo wanaoenda kanisa kama mzoga na wapo wanaoenda kanisa kwa lengo la kumuabudu Mungu. Baada ya ibada ni kutawanyika kapige kazi. Sala na Kazi uenda pamoja.
 
Mada ya uislamu na Ukristo inaingiaje hapa.Hizi ni imani na KILA mmoja kwa mapokeo yake,ipi bora ipi sahihi ni kile mmoja alicholishwa,japo uislamu tawi tu la Ukristo kwa maana walioanzisha Ukristo ndio walioanzisha Uislamu,thus Quran imekopi Biblia.
 
Sawa sawa unakuja kwenye point sasa unamaanisha kwamba waislamu hawana ibada au hawaswali swala 5 kuliko wakristu kwamba ukitoka uislamu na ukahamia ukristu tu ndio ufanikiwe kwa kua umemfuata Yesu inamaana kwenye uislamu hakuna ibada? Au kwamba waislamu wanafanya ibada tu hawafanyi kazi? Au waislamu wanafanya kazi tu ila hawafanyi ibada? Are you serious on this? What do you mean by saying that?
 
Kufanikiwa ni mchakato ndugu popote ukifata kanuni za kufanikiwa utafanikiwa pasipo kujali wewe ni Muislamu,ni Mkristo au usiyeamini.
 
Mimi na-stick na mada iliyopo kwenye huu uzi mkuu, soma tena andiko la Sandali Ali utaelewa, inaonyesha una upeo mdogo wa kufikiri yeye kasema alipotoka kwenye uislamu na kuhamia ukristu na kumpokea Yesu akapata mafanikio huku ukoo wake wote ambao ni waislamu wamebakia kua makapuku yeye kaajiriwa Serikalini, kwa hio tujikite hapo usitoke nje ya mada
 
Kufanikiwa ni mchakato ndugu popote ukifata kanuni za kufanikiwa utafanikiwa pasipo kujali wewe ni Muislamu,ni Mkristo au usiyeamini.
Full Stop sasa inaonekana fikra zako zimepevuka hayo muelekeze huyu Sandali Ali aondokane na hio dhana kwenye ubongo wake
 
Yupo sahihi kwa mtazamo wake yeye,kwa maana kupitia nguvu ya Yesu Kristo aliyoitumia imesaidia kuvishinda vizuizi na vikwazo vya kiroho sababu ya maagano ya mababu vilivyopo kwenye ukoo. Nguvu ya Yesu inauwezo wa kuzishinda laana zote ziwe laana za ukoo, ardhi, kabila, mazingira, nchi, nk na kukuweka huru. Hao ndugu zake labda awajafanya kitu kupitia dua ndani ya Quran tukufu Ili waweze kuyatawala mazingira yao.
 
Yaan unamaanisha Qur'an tukufu ina nguvu na Yesu ana nguvu au umemaanisha vipi mkuu? Yaan unakubari kutokukubariana au emu fafanua hapo? Na Sandali Ali akuelewe ili siku nyingine asianzishe mada km hizi apate fundisho nini umekimaanisha?
 
Yaan unamaanisha Qur'an tukufu ina nguvu na Yesu ana nguvu au umemaanisha vipi mkuu? Yaan unakubari kutokukubariana au emu fafanua hapo? Na Sandali Ali akuelewe ili siku nyingine asianzishe mada km hizi apate fundisho nini umekimaanisha?
Mbona tunarudia,yeye katumia jina la Yesu kuishinda nguvu ya mizimu inayoshikilia ukoo usiwe na maendeleo.Yaan amecutt off connection
 
Mbona tunarudia,yeye katumia jina la Yesu kuishinda nguvu ya mizimu inayoshikilia ukoo usiwe na maendeleo.Yaan amecutt off connection
Una cut off vipi hio connection ya roho chafu na uchawi
 
Mbona tunarudia,yeye katumia jina la Yesu kuishinda nguvu ya mizimu inayoshikilia ukoo usiwe na maendeleo.Yaan amecutt off connection
😂😂😂 Mkuu yatosha nisije nikakwambia 'Rudi nyuma yangu Shetani wewe ni kikwazo kwangu', basi yatosha
 
Ubarikiwe.
 
Una cut off vipi hio connection ya roho chafu na uchawi
Amerahisisha maelezo yeye anachozungumzia ni kuendeshewa sala ya toba ya kumpokea yesu na kumkataa shetani na kubatizwa na kuhamia ukristu hio ndio Cut Off anayoisema mkuu,
 
Kwa kipi kampeni za kuhamisha waumini wa kiislamu wahamie ukristu na kuwaaminisha kwamba ukihamia ukristu basi umetoboa maisha ndio kubarikiwa huko?

That's nonsense,
Watu wengine mnamatatizo ya afya ya akili
 
Watu wengine mnamatatizo ya afya ya akili
Wengi wao utawakuta kwa Mwamposa wanaombewa kila siku ili wapone ila hawaponi, wewe ni mmoja wapo? Usiwe km Petro - 'Petro Petro Petro sikia Jogoo hatowika kabla hujanikana mara 3', si kweli kwamba ukihamia ukristu basi umetoboa maisha acheni hizo mentality za kijima
 
Watu hawaelewi tu. Ukiwa na Yesu kuna ushindi fulani unaupata. Hakuna kitu kikubwa kama kuwa na ushindi dhidi ya dhambi na huu haupatikani kwa nabii, mtume au dini yoyote, ni kwa Yesu pekee. Na kuupata ni rahisi.

Kwanza unaamua kwa dhati ya moyo kuwa unataka kuacha dhambi siyo kwa utani Bali kwa kudhamiria kabisaa. Halafu tamka maneno yafuatayo.
.............................................
Mungu wangu nakuja mbele zako nikikiri kuwa Mimi ni mwenye dhambi tangu kuzaliwa. Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kuacha dhambi lakini kwa nguvu zangu siwezi. Naomba Yesu Kristo ulifute jina langu katika vitabu vya hukumu na uliandike katika kitabu Cha uzima, unisamehe dhambi zangu zote, unibadilishe na kunifanyia kiumbe kipya kiroho katika jina la Yesu Kristo Amen.
..................... ... ............. .......... ......

Kuanzia hapo utaona kuna uwezo unaingia ndani mwako na utashangaa unaweza kuacha au kukataa kutenda dhambi ulizokuwa unatenda mwanzo.
Tafuta msaada zaidi kutoka kwa watu waliokoka kweli na wanaolifata neno la Mungu.
 
AMEN, PHILIMONE ONE SIX.Umebarikiwa ww na udhao wa kwako, na nafsi ya kwako iendelee kumngoja bwana kuliko walinzi wangojavyo asubuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…