Katika ukoo wetu mimi ndiye wa kwanza kuwa mwajiriwa wa serikali, jifunze kitu hapa

Mh. Makubwa
Upo tayari kusomewa sala ya toba, upo tayari kumpokea Yesu na upo tayari kumkataa Shetani kisha ubatizwe ili uingie kwenye Connection ya ukristu ili u-Cut Off connection ya uislamu/mizimu na utoboe maisha na guarantee ya kutoboa kwenye ukristu ni 100%, je upo tayari?

Hio ni kwa mujibu wa Sandali Ali na Showmax
 
should we demand an explanation from our God Lord?
Question his methods?
Or should we enjoy the benefits of his graces?

Don't think that our good God wants us to question too much.
God says "HIS WAYS ARE NOT OUR WAYS"
what He basically means by that is HE IS MYSTERIOUS, Live with it.
 
Kuanzia hapo utaona kuna uwezo unaingia ndani mwako na utashangaa unaweza kuacha au kukataa kutenda dhambi ulizokuwa unatenda mwanzo.
Tafuta msaada zaidi kutoka kwa watu waliokoka kweli na wanaolifata neno la Mungu.
Kwa hio ukitoka hapo tayari wewe ushatoboa maisha? Well said, now I understand this is Africa.
 
Apart from all on what you said, you have to understand my concern

You said, I had a question but you didn't show me where my question is?

I didn't ask any questions to GOD, first of all you have to understand that, copy that?

And another thing here, I was asking about changing of religion and means of being successful, he said if you're a Muslim and change your religion to become a Christian then you will be successful and if you're a Muslim then you're a witch and unsuccessful and doing so you won't be successful in life, that's what he mean if you understand but if you don't sorry for that,

To me that's wrong and that's not good at, you can be successful it doesn't matter whether you're a Muslim or you're a Christian, only if you believe on what you do and you work hard on what you believe then you will be successful, I know I practiced all that it start on what you believe not on what your religious beliefs is

Believe on yourself yes you can that's the starting point, yourself and nobody else, I mean nobody but you and what you believe, so what do you believe?
Do you believe that being Christian can make you get everything you want in life? Do you believe?
By being Christian you can achieve anything in life? Do you believe?
Do you believe by being Christian then you have booked a ticket direct to heaven? Do you believe?
Do you believe that by being Christian then you can cure incurable disease? Do you believe?
Do you believe that by being Christian then you will be rich & famous? Do you believe?
 
Tatizo la watanzania wengi ni kushangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ajira tu umeshajiona Bill Gates. Inasikitisha sana.
Vigezo/viwango vya mafanikio vinatofautiana kati ya mtu na mtu.
Kama wewe mafanikio kwako ni mpaka uwe kama Bill Gates, mwenzako Sandali Ali mafanikio ni hapo alipofikia.

Tujifunze kuheshimu maoni na mipangilio ya wengine.
Hongera mleta mada.
 
...mafanikio ya mtu hayapo connected na dini kama ulivyosema ...hiyo ni mind set yako tu..

Kuna watu Wala hawamjui mungu Ila Wana mafanikio ya kutisha sembuse ww kuwa na kidigree na kuajiriwa serikalini (UTUMWANI)
 
Vigezo/viwango vya mafanikio vinatofautiana kati ya mtu na mtu.
Kama wewe mafanikio kwako ni mpaka uwe kama Bill Gates, mwenzako Sandali Ali mafanikio ni hapo alipofikia.

Tujifunze kuheshimu maoni na mipangilio ya wengine.
Hongera mleta mada.
Kumbe hio ndio definition ya mafanikio iliyopo kwenye kamusi za wengi, kwamba ukihama uislamu na kuingia ukristu basi umetoboa maisha? Kwamba unawaaminisha watu kua uislamu ni mbaya ila ukristu ndio mzuri ukiwa mkristu tayari umetoboa maisha who put that program in your head?, sitaki kwenda deep sana nisije nikachafua meza hapa
 
Wenye kukuelewa watakutafutauwape maarifa..hii kitu inatesa sana
 
Kwa hio ukitoka hapo tayari wewe ushatoboa maisha? Well said, now I understand this is Africa.
Ukipata vyote katika ulimwengu huu Kisha ukaikosa roho yako! Tafuta kwanza ufalme wa Mungu na vingine vyote utaongezewa
 
Alietuletea hizi dini ndio kaleta huu mkanganiyiko

Unadhani mizimu ipo Africa tu Peke yake mkuu? Unajua lakini maana ya mizimu?

Unajua kama kuna mataifa mengine ambayo yenyewe ibada zao zimeelekezwa kwenye mizimu tu na sio Mungu wala vitu vingine kama sie?

Ukisema waafrica wengi wako connected na mizimu ndomana wengi Maskini unaweza nitajia taifa ambalo lenyewe halipo connected na mizimu ndomana wao ni matajiri?

Unajua kama China au karibia nchi zote za Asia ibada zao ni mizimu,ukarimu,upendo na hawataki kuskia habari za Mungu mingine tofauti na mizimu Yao na maisha yanaenda

Unajua kama hawa waliotuletea hizi dini waga kuna muda wanafanya matambiko kwa ajili ya kutimiza mahitaji ya mizimu yao? Wao wanaanimi kama mizimu ikikasirika basi ndo unapata majanga na Mambo yako hayataenda Sawa sawa

ila kama utafanya jambo mizimu yako ikafurahi basi utafanikiwa kwenye Mambo yako the same thing walichokuwa wanafanya wazee wetu miaka kibao nyuma kabla ya kuletewa hizi dini za kigeni

Na wapo watu kibao ambao ni Christian ila hawajaacha utamaduni wa kwenda kuwaenzi wazee wao ambao ni mizimu Kwa sasa Kwa kufanya matambiko kama Mila zao zinavosma ili tu katika familia zao mambo yaende vizuri mfano wachaga na wakinga

Sasa nyie mmekazana kusema mara cut off mizimu mara kukata sijui nini ilhali ni ujinga mtupu, kufanikiwa kwa mtu kunakuja na Mambo mengi ila baadhi ya hayo ni pamoja na kujitambua,kujua unataka nini,kuamini katika unachokifanya,kujituma,nidhamu ya kazi, upendo na mwisho kabisa connection

Haijarishi huyo mtu atakuwa ni Christian/Muslim/pagan/Buddha/Hindu/ akifata hiyo misingi basi ni Jambo la Muda tu kufanikiwa kulingana na sehemu alipo na juhudi zake

Dini ya kweli hapa Duniani ni UPENDO tu, haya mengine ni utashi wetu binadamu tu na yanaleta kujigawa na kujiona wengine ni Bora kuliko wengine ila hayana faida yoyote katika jamii zetu na hasa sie ambao ujinga ni sehemu ya maisha yetu

kutwa kumsingizia Mungu mambo ambayo ata yeye anashangaa ohooo Dini ya kweli sasa ingekuwa Dini ya kweli si tungezaliwa kila binadamu teyari anaijua na kuifata sasa iweje kuwe na Dini ya kweli alafu duniani kuwe na Dini zingine zaidi ya 3000 Zingine

Yani dini mpya kuliko zote duniani ndio ije kuwa Dini ya Kweli na Dini zilizoanza maelfu ya miaka huko nyuma zenyewe ziwe za uongo, Mambo mengine bana ukifikilia unaishia kucheka tu

Ohhh kwa yesu ndio kuna mafanikio na uzima wa milele unataka kuishi milele ili ugundue nini? Ohhho Kuna mafanikio, mafanikio gani hayo ya kujazana ujinga na kutajirisha wanaojiita manabii na nyie kubakia Maskini wa kutupwa

Mchungaji/Nabii akitaka Gari mnamchangia pesa akanunue ila muumini akitaka Gari anaombewa na mchungaji, yani Akili zenu mnazijua wenyewe, sasa kama maombi yanaleta Gari/ mafanikio iweje mchungaji achangiwe pesa na sio kuombewa apate Gari?
 
Dini ya kweli hapa Duniani ni UPENDO tu, haya mengine ni utashi wetu binadamu tu na yanaleta kujigawa na kujiona wengine ni Bora kuliko wengine ila hayana faida yoyote katika jamii zetu na hasa sie ambao ujinga ni sehemu ya maisha yetu
Mkuu umemaliza kila kitu πŸ‘πŸ‘πŸ€ be blessed, uongezewe zaidi ya hapo ulipo yaan mabaraka yakushukie hadi mengine uyakatae, you finished everything yaan umesema yote, mimi sina cha kuongeza
 
Mchungaji/Nabii akitaka Gari mnamchangia pesa akanunue ila muumini akitaka Gari anaombewa na mchungaji, yani Akili zenu mnazijua wenyewe, sasa kama maombi yanaleta Gari/ mafanikio iweje mchungaji achangiwe pesa na sio kuombewa apate Gari?
Mkuu umemaliza kila kitu kila kitu I mean you finished everything, yaan nakosa cha kujazia hapo yaan hata mimi hua najiuliza inakuaje kuaje hapo kwanini mchungaji anachangiwa kujengewa nyumbani Kali na viyoyozi juu ilihali kuna muumini au mwana maombi anaishi upenuni tena kwenye cordo au mwingine analala sebleni kwa shemeji yake does it make sense?

Ila huyu mwenye hii hali akiomba apate nyumba kwa mchungaji anawekewa tu mikono kichwani anaombewa tu eti kesho nae atapata nyumba kweli?
 

Mbona unateseka hivyo? Si umkaushie.
 
Mbona unateseka hivyo? Si umkaushie.
Ata mm naona jamaa anateseka sana sijjui kwann?
Mwenzie katoa ushuhudi kulingana na anavyowmini yeye,naoma jamaa naona kawa mpinga kristo huku anajinasibu na ni mfuasi wa kristo
Kazi sana kweli kweli
 
Sasa kwenye hii dua namuomba yesu au mungu? Mana umewachanganya wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…