Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

uliongea nae wapi akakwambia hayo, acheni imani za kijinga mlizokaririshwa
Sio lazima utukane Mkuu..
Halafu mimi naamini ktk NENO la MUNGU na Mungu alitoa agizo "wachawi ni lazima wauawe"...
Ex 22:18
Wewe hulazishwi Kuamini kwani imani yako huenda inakuongoza Kuamini uaminivyo !
 
elimu ya kishirikina sihitaji maana mimi sina mawazo potofu.ukitaga kinidhuru nikate mapanga ila hizo njia za kishirikina ni uongo .waganga,wachawi ,wachungaji wote matapeli tu
Nimesema elimu ya mazingira sijasema elimu ya ushirikina mkuu
 
Hakuna uchawi,hakuma mchawi ,hizo ni imani tu ila in reality ni uongo mtupu.mtu mwenye mawazo ya kishirikina mpaka dunia ya sasa huyo ni mpuuzi
Siku wakikuanzishia noma utahama mtaa
 
Mke kaniroga.
Mchepuko nae kaniroga
Kazini wameniroga
Ndugu wameniroga
Mashangazi wameniroga.
Maisha nayo yanipige

Wanaume tutafika mbinguni tumechoka mnoo
 
[emoji38]mkuu ilikua kila mtu ninayekutana naye anauliza nywele ziko wapi. Kwenye kesi hapo sasa ndio sio powa mzee. Watu ni wabaya sana mkuu,bora ulikimbia maana sahivi ungekuwa unapangiwa muda wa kulala huko jera

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha, ila unakuwa unadhani wew ndiye unakosea kumbe dah. Kuna una member humu tulikutana huko sehemu za mbali yenye ndiye akasema dogo sepa. Jf kubwa sana, hata kwa sasa hapa napata ushauri mzuri sana juu ya jambo langu. Kama huna tatizo wawez dhani hapa ni sehemu ya kucheka na kupoteza wakati tu au kuwashambulia wanasiasa.
 
Halafu Kuna watoto wenye maziwa kwenye meno wanakuambia uchawi hamna....ihiii...dah...huwa nashangaa tu.....watu wanapigana pin daily
Uchawi hakuna kama hayajakupata, bora hata waseme kuwa mimi hata nikifanyiwa ushirikina ntabaki na Mungu, ila kusema uchawi hakuna sijui wana maana gani!
 
Back
Top Bottom