Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

Katika ulimwengu wa kishirikina, nguo yako ni wewe

Ulinzi muhimu sana ngozi nyeusi bure kabisa akiona tu unaendelea anakuroga
 
Yani kunadude linafanya matukio likiwa na Housing yako ? Au ipoje hiyo.
Unamsaidia mtu lakini kumbe anataka mkwame, na wakati hajui ataanzia kama ukikwama wew unayemsaidia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili ndo chawi lenyewe sasa!

Nitakufuatilia kwa karibu, na nikikubaini!!!!!
Hata wewe nakuamini una akili kumbe bado una amini upumbavu wa kishirikina,mimi sio mshirikina ,ukitaka kunidhuru niviie uniwekee sumu au nipige risasi au mapanga huo ndio uchawi wa kweli utopolo mwingine wote ni uongo mtupu,nenda kamroge bakhersa ili niamini
 
hicho chumba Giza Nene jamaa alioneje shati na alikua haruhusiwi MTU kuingia hapo kwa shangazi yake singida!!

Hakikisha kilasiku nguo uliyovaa umefua katika uchawi hakuna kitu muhimu kama jasholako ,usiruhusu pia chupi au boxa ilale bila kufuliwa
 
Nina boxer moja , shati 6 na kadet 4...najua vizuri nguo zangu sasa sijui huyu demu atanirogea wapi?....Nina kaa uswazi walipo wachawi hizo mishe za kunyoana nywele naziskia sasa Mimi tokea nimehamia huu mtaa ni Bonge la paraa alafu siringi wala nini....

Shabashhhh!
Kwamba huringi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe ndiye mchawi mwenyewe tunaowaongelea hapa. Hakuna mchawi hata mmoja anaependa kujulikana kwamba ni mchawi.
na wewe pia una imani za kishirikina.dah halafu utakuta ni kijana kabisa ila shule haijakusaidia
 
mkuu mimi imenikuta!! kuna wanawake wawili nilizaa nao wako mikoani walinichezea nikawa natuma mpunga kama chizi..wakinambia tu hela nafanya juu chin nitume..sasa kuna mmoja dawa zake zilikua zina nguvu huyo ndo alinifanya kitu mbaya sana!kanimaliza hela sana pumbavu yule..sasa ikatokea kama bahati tu dada mmoja nikaonana nae ila zile behavior zangu zikawa zinamtia mashaka maana nilikua mtu wa kulala tu, sitaki kazi, nataka niache kazi au nimpige hata ngumi bosi (yote hayo mtaalamu aliniambia na mengne ambayo ni kweli 100%)ilimradi nifukuzwe kazi nirudi kijijin kwa wazee wangu walipoacha nyumba(RIP wazee wangu) na huko ndo ningeenda kupotea na pia walikua wanataka kunifanya kuwa zezeta.. alafu madhara yangekua makubwa maana mtaalamu alisema wangekuja kunibwagia watoto..

Ndo akanipeleka sehemu..kufika pale mtaaalamu alitoa machozi hao wanawake wameniloga, ndugu(ushangazini) pia wameniloga taflani tu..Mtaalamu akanionea huruma akaniambia ningekufa bado mdogo sana alafu akanipa mkanda mzima kuhusu mimi,familia na wale waliokua wananiloga kila kitu kilikua 100% kweli, Acheni kuna wataalamu hawabahatishi..maana mambo yangeniandama mikosi,magonjwa alafu akaniambia nimshukuru sana yule dada alienipeleka pale maana nimeponea kwenye ncha ya kisu..!!yule dada nimeweka ndani saizi ni mke nitakae tulia nae!!

Broo mtaalamu yule aliniondolea ule uchaw kwa kunishika mkono akavuta uchawi niliotupiwa alinifanyia vile kunisaidia Bila kudai hata Sh Mia zaidi ya ile ya sadaka tu ambayo mimi nilipanga kuitoa!! ..nilipotoka hapo nikakuta nalejesha tumain la maisha na akaniambia nisali sana niwe naenda na kanisani.na ikatokea namchukia sana yule mwanamke aliyekua ananifanyia hivo na walistuka!! Ni mengi niishie hapa.
Huyo mtaalamu anapatikana wapi Mkuu? Nina mhitaji sanaaaaa!!
 
Ni mateso haswa.kuna mtaa niliishi mwaka jana walininyoa nywele usiku mpaka leo zimegoma kuota sehemu fulani nikawa nashangawa na watu ikabidi nipige para

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole Sana...
Nenda KAWE kwenye Madhabahu ya inuka uangaze, ya Mtume Boniface Mwamposa, nina uhakika nywele zitaota!
 
Back
Top Bottom