Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
Vizuri mnoMedication inaweza detect mchawi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri mnoMedication inaweza detect mchawi?
Wamekunyoa nywele za wapi mzeeNi mateso haswa.kuna mtaa niliishi mwaka jana walininyoa nywele usiku mpaka leo zimegoma kuota sehemu fulani nikawa nashangawa na watu ikabidi nipige para
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe darasaVizuri mno
mkuu mimi imenikuta!! kuna wanawake wawili nilizaa nao wako mikoani walinichezea nikawa natuma mpunga kama chizi..wakinambia tu hela nafanya juu chin nitume..sasa kuna mmoja dawa zake zilikua zina nguvu huyo ndo alinifanya kitu mbaya sana!kanimaliza hela sana pumbavu yule..sasa ikatokea kama bahati tu dada mmoja nikaonana nae ila zile behavior zangu zikawa zinamtia mashaka maana nilikua nataka niache kazi au nimpige hata ngumi bosi ilimradi nifukuzwe kazi nirudi kijijin kwa wazee wangu walipoacha nyumba(RIP wazee wangu).
Ndo akanipeleka sehemu..kufika pale mtaaalamu alitoa machozi hao wanawake wameniloga, ndugu pia wameniloga taflani tu..Mtaalamu akanionea huruma akaniambia ningekufa bado mdogo sana..maana mambo yangeniandama!!
Broo mtaalamu yule aliniondolea ule uchaw kwa kunishika mkono akavuta..nilipotoka hapo nikakuta nalejesha tumain la maisha.na ikatokea namchukia sana yule mwanamke aliyekua ananifanyia hivo na walistuka!! Ni mengi niishie hapa.
Looohh... mazito hayamkuu mimi imenikuta!! kuna wanawake wawili nilizaa nao wako mikoani walinichezea nikawa natuma mpunga kama chizi..wakinambia tu hela nafanya juu chin nitume..sasa kuna mmoja dawa zake zilikua zina nguvu huyo ndo alinifanya kitu mbaya sana!kanimaliza hela sana pumbavu yule..sasa ikatokea kama bahati tu dada mmoja nikaonana nae ila zile behavior zangu zikawa zinamtia mashaka maana nilikua nataka niache kazi au nimpige hata ngumi bosi ilimradi nifukuzwe kazi nirudi kijijin kwa wazee wangu walipoacha nyumba(RIP wazee wangu) na huko ndo ningeenda kupotea
Ndo akanipeleka sehemu..kufika pale mtaaalamu alitoa machozi hao wanawake wameniloga, ndugu pia wameniloga taflani tu..Mtaalamu akanionea huruma akaniambia ningekufa bado mdogo sana..maana mambo yangeniandama!!
Broo mtaalamu yule aliniondolea ule uchaw kwa kunishika mkono akavuta uchawi niliotupiwa..nilipotoka hapo nikakuta nalejesha tumain la maisha na akaniambia nisali sana niwe naenda na kanisani.na ikatokea namchukia sana yule mwanamke aliyekua ananifanyia hivo na walistuka!! Ni mengi niishie hapa.
Ndugu wanapigana sana misumaliMchawi ndugu.
Pole sana ase. Mtaani vipi mambo yanaenda lakini?Mimi niliwahi kufanyiwa huo uchawi...kipindi hicho nilikuwa kidato cha tano kule karagwe secondary...yaani shule nzima mimi tu ndio nilikuwa naonekana kituko...ilifikia mpaka mkuu wa shule alinibatiza jina la 'truant boy'....na bado nilikuwa najitahidi kuswali sala tano...ila nilifanikiwa kumaliza kwa mbinde...hata shule niliyohamia watu wote waliokuwa wanasoma combination kama yangu wote walifaulu ila mimi tu ndie nilifeli...UCHAWI UPO
Mkuu ushakutwa na tukio?Furaha yao uteseke tu. Hawafai
Tukio la vitu vyako kupotea halijaambatana na bad lucky.Mimi kuna kipindi zilipotea sana nguo zangu alafu zinapotelea kabatini na wakati naishi peke yangu. Kuna jeans ilipotea ikiwa mpya nimevaa week moja tu nikaweka kabatini haikuonekana mpaka leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kunadude linafanya matukio likiwa na Housing yako ? Au ipoje hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So mkuu ukaona mambo yasiwe mengi bora upige para tu kuwakomoa, dah hata mimi hao watu wamecheza na maisha yangu mpaka kidgo nitupwe jera mahala flani nikala nduki kukimbia kesi, kumbe kuna likiumbe hai moja liko behind
Hakuna uchawiHabari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya.
Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo.
TUKIO LA KWANZA (1):
Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam). Back to the story, yeye alikumbwa na tukio (la kishirikina)ambalo lilimfanya awe cha pombe sana, afu michongo sifuri. Ali-turn 40 akiwa home kwao Upanga.
Baada ya jamaa huyo kuwa tatizo katika familia na ukoo kwa muda mrefu. Mwaka 2018 ilikuja bainika kuwa jamaa kalogwa na Shangazi yake wa Singida, Na moja ya " Link " iliyotumika ni nguo (shati) ya jamaa. Jamaa alilitambua shati lake lililopotea siku nyingi akiwa Upanga ila siku hiyo ililiona likiwa Manyoni Singida likiwa limechomwa chomwa sindano, pia likiwa limenyunyuziwa dawa na kufungungwa Power Banks (Ilizi) mbalimbali zenye rangi tofauti tofauti ndani ya chumba ambacho kina giza nene na hakuna mtu uruhusiwa kuingia.
Vyote hivyo vilitosha kuhahakikisha mambo ya jamaa hayaendi, iyo mpaka umauti ulipomkuta 2019 kwenye kilabu kimoja cha pombe maeneo ya vigunguti.
TUKIO LA PILI (2):
Tukio la pili nililisoma humu JamiiForums.
Kuna jamaa yeye ni mzawa na mkazi wa jiji la Dar, Yeye alikuwa ana mpango South Africa.
Alifanya mipango yake kwa siri sana mpaka kufika Mbeya bila familia yake kujua. Kwa bahati mbaya alimtonya ndugu yake hapo Mbeya, Ndugu huyo akawa-informer kwa familia yake ilipo Dar. Mama yake mzazi hakutaka mwanae aende South Africa ivyo ikambidi aende kwa mtaalam amsaidie.
Mtaalam akaagiza Mama Mzazi wa jamaa alete nguzo ya mshikaji afanye mambo. Mtaalam baada ya kukabidhiwa nguo hiyo alifanya mambo kwa ustadi wakutosha.
Uwezi amini bhana yule jamaa ndani ya muda mfupi tu alibadili mawazo "completely" na kurudi kwao Temeke.
Kwako Mshana Jr na wajuvi wengine wenye nyota zenu na mwezi
Tupeni chemistry ya Nguo kwenye ulozi.
Uandishi tuvumiliane tu, hamna namna.
Nguvu ya uchawi ni pana sana..nguvu hii huishi kwenye akili zetu..nguvu hii ni yakufikirika zaidi kuliko ukweli..hivyo uchawi unanguvu kwenye mawazo yaani mawazo yanaupa nguvu,kipimo cha kujua mtu mjinga ni yule anae rogeka au kwenda kwa waganga mawazo yako ndio uchawi wenyewe...mganga ni yule alie kuzidi maarifa na si vinginevyo niulize cho2te nitakujibu......Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya.
Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo.
TUKIO LA KWANZA (1):
Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam). Back to the story, yeye alikumbwa na tukio (la kishirikina)ambalo lilimfanya awe cha pombe sana, afu michongo sifuri. Ali-turn 40 akiwa home kwao Upanga.
Baada ya jamaa huyo kuwa tatizo katika familia na ukoo kwa muda mrefu. Mwaka 2018 ilikuja bainika kuwa jamaa kalogwa na Shangazi yake wa Singida, Na moja ya " Link " iliyotumika ni nguo (shati) ya jamaa. Jamaa alilitambua shati lake lililopotea siku nyingi akiwa Upanga ila siku hiyo ililiona likiwa Manyoni Singida likiwa limechomwa chomwa sindano, pia likiwa limenyunyuziwa dawa na kufungungwa Power Banks (Ilizi) mbalimbali zenye rangi tofauti tofauti ndani ya chumba ambacho kina giza nene na hakuna mtu uruhusiwa kuingia.
Vyote hivyo vilitosha kuhahakikisha mambo ya jamaa hayaendi, iyo mpaka umauti ulipomkuta 2019 kwenye kilabu kimoja cha pombe maeneo ya vigunguti.
TUKIO LA PILI (2):
Tukio la pili nililisoma humu JamiiForums.
Kuna jamaa yeye ni mzawa na mkazi wa jiji la Dar, Yeye alikuwa ana mpango South Africa.
Alifanya mipango yake kwa siri sana mpaka kufika Mbeya bila familia yake kujua. Kwa bahati mbaya alimtonya ndugu yake hapo Mbeya, Ndugu huyo akawa-informer kwa familia yake ilipo Dar. Mama yake mzazi hakutaka mwanae aende South Africa ivyo ikambidi aende kwa mtaalam amsaidie.
Mtaalam akaagiza Mama Mzazi wa jamaa alete nguzo ya mshikaji afanye mambo. Mtaalam baada ya kukabidhiwa nguo hiyo alifanya mambo kwa ustadi wakutosha.
Uwezi amini bhana yule jamaa ndani ya muda mfupi tu alibadili mawazo "completely" na kurudi kwao Temeke.
Kwako Mshana Jr na wajuvi wengine wenye nyota zenu na mwezi
Tupeni chemistry ya Nguo kwenye ulozi.
Uandishi tuvumiliane tu, hamna namna.
Kama si uchawi ni nini mzee.Hakuna uchawi
Unafanyaje meditationAmna mkuu, ukistukia mchongo, unajipanga upya muhimu ni kuusoma mchezo, ukitaka kujua unaishije waangalie sana waliokuzunguka utajua tu. Unaweza kujua upo sawa kumbe ni kinyume chake, meditation inasaidia sana