Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Hapana mkuu, wewe sio lofa, wewe ni fighter ndio maana umekaribia kujeng yako. Kuwahi sio kufika.nakaribia 40 na bado! kila nikiangalia mbele naona kama kuna kama mitatu hivi kabla ya 'kuanza zoezi'. Nikiwaona wa 20's waliofanikisha, nakaribia kukimbia wazimu......najiona nimekosa mipango, lofa, mzembe n.k.
You are still young ..young blood. Endelea kupambaba , save pesa and usisahau lengo lako.Daaa wenzangu sijui waliwezaje kujenga na miaka 20.
Mimi niko 25 bado nakomaa kwenye upangaji na sioni dalili hata za kununua kiwanja
Shukran mkuu. Ngoja tuoneYou are still young ..young blood. Endelea kupambaba , save pesa and usisahau lengo lako.
Anamaanisha bandaUnamaanisha nyumba au vijumba?
Huu ni ukweliNikumbushe tu;
thamani ya kiwanja Dar ni nyumba kadhaa mikoani,so wa mikoani hesabuni idadi ya nyumba zenu kwa staha kidogo[emoji38][emoji1787]
πππUnamanisha nyumba yangu? Hata kama ni nyumba ya chumba kimoja juu imeezekwa nyasi?? Nijibu nijidai nilijenga nikiwa darasa la tanoππ
Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasukaππ, fundi wa kujenga nilimpa elf 15ππ alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juuπ, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja mojaπππππ. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sitaπππ. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi hukuππππ
Saafi sana.Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasukaππ, fundi wa kujenga nilimpa elf 15ππ alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juuπ, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja mojaπππππ. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sitaπππ. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi hukuπ
2013 unamaliza form 4. π€Unajua vijijini ni hali ya kawaida sana ila mm nilijenga kwa umr mdg sanaaa, nilifyatua tofar 1500 zingne zilipasukaππ, fundi wa kujenga nilimpa elf 15ππ alikuwa mpwa wangu, na ndiye aliniezekea juuπ, chanzo cha kujenga ni kero ya bi mkubwa kunitukana eti mm kikojozi na ni kweli kwa huo umr bado nilikuwa nachora ramani ck moja mojaπππππ. 2013 nilipomaliza 4m 4 nilipata vihela vya kibarua niliezua paa nikapiga bati sita za fut sita sitaπππ. Saiz maza anafugia kuku mm nipo kulipa kodi hukuπ