Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

28..29 nikahamia kwangu nikakaa miezi 4 nikarudi kupanga kati coz nilihisi nipo gerezani.
kampani ilikata, teki nikawa nalisikia tu.
ukichelewa hadi saa 3 usiku unakuta dalili za uporwaji getini.
nikaona isiwe shida nikarudi kati kwa wana.
kujenga sio furaha ya mwisho
 
Back
Top Bottom