Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
Waliohamia Duniani tunangoja majibu yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hataki kabisa kusikia mtu amejenga.Anadowea za wenzie tu.
Ukifata wanachosema,umepotea.Mi nakuambia kuna watu humu jf ..ahhahha
Miaka 35
Kivipi?Tuko pamoja
Waoooooh..... hongera boss21 nyumba ya kwanza,2011, 28 nyumba ya pili, 29 nyumba ya tatu.
Itaisha..maombi kwako38 na haijaisha
Hahaa ila wabongo daah hahaNiwaibie siri vijana
Waliojenga nyumba wala hawaishi maisha mazuri kupitia hizo nyumba zao.
Ukiwa na pesa unaweza kumtuma vocha dukani mama mwenye nyumba na baba mwenye nyumba anashingilia