Wewe ndio punguani unaejifananisha na wengine hao wameweka malengo yao sawa acha kutafuta visingizio hata wewe waweza kuwa kisingizio kwa wengineUtoto unakusumbua aya wewe mtoa mada
Yamal ana trilioni kadhaa ana miaka 18 wewe una sh ngapi......
Neema na bahati, juhudi na connection zina play part kubwa...
Aya wewe na mtoto wa mo nani ana pesa punguza ujinga ....
Other wise umepata viela vya mboga unajiona genius stupid...
Itakuwa poa ukianza wewe kama mfanoNi kweli!
Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara
Inashangaza sana mtu umefika miaka 30, 40 au 50 bado huna pesa! Yani miaka 40 yote imeenda patupu? Tuache kutafuta visingizio pesa ni namba na umri pia ni namba weka uwiano wa namba zako ili usije juta baadae.
Mfano waweza jiwekea kulingana na umri wako let's say miaka 20 utakuwa unasave au kuongeza thamani ya shilling million 5 kila mwaka hadi unafika miaka 30 tayari utakua na around milion 50 au 30 hicho ni kiasi kidogo sana cha malengo kwa mwenye kipato cha chini kabisa
Anza mapema kutafuta uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo hii itakujenga kufanya kazi kwa bidii na matumizi mazuri ya pesa utakazo pata ukijisemea pesa na umri havina uhusiano unapotea kwenye ramani. Anza sasa bado hujachelewa
Miaka hii bado unaamini katika riziki? Tafuta hiyo unayoita riziki huwa haiji tuu weka uwiano wa umri wako na pesa unazostahili kuwa nazo kulingana na kipato chakoKila mtu kapangiwa riziki yake mkuu wengine ume wazidi umri ila wamekuzidi kipato
Tuonyeshe pesa ulizo nazo na malengo yako kama za MoWewe ndio punguani unaejifananisha na wengine hao wameweka malengo yao sawa acha kutafuta visingizio hata wewe waweza kuwa kisingizio kwa wengine
Sawa kijana ,naweza kupata walau buku ya supu ,mtoto wangu?Sio matusi ndio uhalisia
Acha visingizio huyo Mo hajapata pesa ghafla bin vuu ni uwiano wa nambaTuonyeshe pesa ulizo nazo na malengo yako kama za Mo
Mpumbavu mmoja.... Naishia APA utakuta najibizana na kitoto cha elfu 2000 ata milioni kumi hakina kwa account...
Inaweza isiwe kisingizio ila motisha.Ili uje upate kisingizio kupitia mimi?