Katika utawala wake, hayati Magufuli hakwenda New York kuhutubia UNGA, je tulirudi nyuma kiuchumi na kisiasa?

Kwa hiyo unadhani kila alichofanya magufuli ndio ilikuwa standard ya namna ya kuishi.Basi mpigieni kelele Samia kwa nini bado hajajenga uwanja wa ndege kwao huko,bado hajaweka taa za barabarani nyingi kuliko watu kijijini kwako.Unachotakiwa kujua kila kiongozi hua na mtazamo na maono tofauti.Hii ndio sababu tunachagua viongozi kila baada ya kipindi fulani ili watu wasiongoze kwa kukariri.
 
Tulikimbiza wawekezaji na wafanyabiashara na tulijitahidi kushusha bei za mazao ya wakulima huku tukijidai uchumi unapanda kwa kasi.
 

Uliyoyasema si mabaya na nakubali kuwa JPM was visionary leader lakini hakuna substitution ya HAKI NA UHURU wa watu, ukipuuzapuuza haki za watu watachukia tuu.

#Mama 2025
 
Kama unammisi sana dikteta twende tukakufukie kwenye kaburi lake msituchoshe.

Zama za kishamba zimekwisha lazima mlikubali hili na hii nchi hatuwezi kurudia kosa kuwakabidhi washamba.
Zama za kishamba wakati mmeachiwa flyovers, ndege, vivuko na meli, madaraja ya kimataifa eg tanzanite, vituo vya afya na mahospital, miundo mbinu ya maji na umeme, uwajibikaji makazini, reli ya kisasa.

Kweli we ubongo wako umelemazwa na uji wa muhogo utotoni.
 
JK alizunguka sana. Ila 2015 nadhani kila mwenye akili aliona watanzania walikuwa wanahitaji nini.

Tumeona pia wakati wa maombolezo ya kifo cha mwendazake watanzania wanahitaji nini.

Kama wanasiasa wetu hawana cha kujifunza basi wataendelea kutegemea kushinda uchaguzi kwa bao la mkono. Itakufaa nini kiongozi kupata exposure ya nje wakati hujui exposure ya muajiri wako(mpiga kura) wa kule tandahimba, nyang'hwale au kibondo.?

Naona kabisa mama anapitia nyayo za JK lakini nashindwa kuelewa kama hakujifunza yaliyompata JK ndani ya chama na nje au watu wanampigia makofi ili mwisho nae achungulie shimo. Pengine angeweza angetafuta utaratibu wake mwenyewe wa kuendesha chama na serikali.
 
Nianze kwa nukuu....

Otto von Bismarck Quote

"The great questions of the day will not be settled by means of speeches and majority decisions but by iron and blood."

Tuachane na propaganda za Kila Raisi akiingia madarakani anakuja na Ajenda zake.......

Hivi Izi Ajenda ziliishiaga wap....
Maisha Bora kwa kila mtanzania, Kilimo kwanza, Nchi ya viwanda....N.k

Siku zote mama ni mama Na always wamama huwaga ni watu fair Sana......sizungumzii binti au mwanamke namzungumzia mama kama mama......kuna muda niliwai kuwaza Kua mama angu mzazi ananipenda kuliko watoto wake wengine wote.....kumbe sio kweli mama huwapenda watoto wake wote equally and no matter what.....Hongera sana mama samia

Still tuna safari ndefu.....ila sijui tuanze na nini.....mm naona tuanze na KATIBA MPYA then tuwekeze kwenye ELIMU ELIMU ELIMU Bila kusahau tutengeneze strong INSTITUTIONS

Sijui hata nimeandika nini..ngoja ni post tu.
 
Hoja gani hii ya kijinga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana mama,tanzania haiwezi kujifungia eti kwa visingio vya mabepari au kubana matumizi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kutaja namba ni rahisi sana kila mtu anauwezo wa kutaja au kuzitamka na kuandika. Lete reference au rejea ya hizo takwimu. Unapoongelea kipato kwanini wakati wa Kikwete Tanzania haikutangazwa kuwa nchi ya uchumi wa kati. Sina mahaba kama wewe unavyodhani. Naongea ukweli. Na katika viongozi ambao mimi uwa nawapenda kama yangekuwa mahaba ni ngemtaja Kikwete. Kwa sababu ndo ungozi ambao hata mimi naweza sema nilikuwepo.
Mlinganyo unaoufanya hauendani kiuchumi. Chukua thamani ya miradi ya magufuli linganisha na thamani ya fedha ya miradi ya hiyo ya hospitali ulizo zitaja. Hospitali alizojenga kikwete ni mbili, Mloganzira na Benjamini. Aloboresha huduma za hospitali hizo umemsahau kumtaja ununuzi wa vifaa na upanuzi. Hospitali kubwa ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ambayo iliwashinda wengi ilijengwa na nani? Vituo vya afya nchi zima, achana na hizo hospitali kubwa mbili.
Unaweza linganisha thamani ya miradfi mikubwa, kama reli, bwawa la umeme, Madaraja makubwa baharini na ziwani, ununuzi wa meri mpya na vivuko, ujenzi wa makao mapya. Hivi thamani yake ndo utalinganisha na mloganzira. Magufuli aligusa kila sehemu ya mkoa.
Hata hayo mabarabara ni Magufuli alie simamia. Ni miradi mingapi ambayo ilishindikana japo walikuwepo Mawaziri. Kuvuta maji kutoka ziwa Victoria umekuwepo miaka na miaka lakini Magufuli akatekeleza.
Tuache wivu wa kike, Magufuli alikuwa zaidi ya Kikwete. Roho itakuuma lakini ndo ukweli. Unapoongelea thamani ya miradi. Wakati wa Kikwete, watoto wengi walishindwa kusoma ada mashuleni. Lakini leo kuanzia kwa Magufuli hakuna ada. Ati unakimbilia kutaja Mloganzira na Benjamini ambazo thamani yake hazifikii miradi ya Magufuli. Weye ndo unamahaba. Mie nampenda sana Kikwete na namheshimu.
Lakini nitaongea ukweli kuwa Magufuli alijitahidi.
 
Hayo ni mawazo yako. Soma mada ilichokuwa inaongelea. Usikurupuke. Pia kujenga uwanja wa ndege kuna ajabu au kuwa na taa za barabarani ni ajabu. Usiwe na mawazo finyu. Ni kiongozi gani ambae hakuwai kujenga uwanja wa ndege kwao. Kikwete aliupanua uwanja wa Dar es Salaam uwe wa kisasa, alijenga hospitali ya Mlongazira huko Pwani, Nyerere alijenga kiwanja kwao Musoma na alikitumia mara kibao alipokuwa akienda likizo. Kuna ubaya gani?
Huyo unae msema alijenga kwao kiwanja ndiye alie boresha viwanja vya ndege na kujenga kule Katavi, angekuwa anajipendelea hasingejenga kwingine. Hivi taa za barabarani tena zinazotumia solar, mimacho inawatoka. Huo ni wivu wa kike. Wakati Waziri Mkuu Msuya alisamabaza umeme kijijini kwake mbona watu hawakulalamika. Nyerere alipeleka umeme kijijini kwake kutoka Kiabakari mbona wananchi hawakulalamika!
Kama mtu kasifiwa tuache asifiwe si kuwa na wivu kwa marehemu! Hiyo roho ni wachawi tu ndo wanayo.
 
Hata Kama Mayala hataki kukubali, Ila ukweli ni kwamba umempiga knock out

Ndombwindo unaupiga mwingi!
 
Wilderness unaupiga mwingi!
 

Kabla ya kudakia ushabiki na kulinganisha vitu visinyo na msingi jiulize kwanza swali mmoja

Kwanini UN wanamkutano kila mwaka wa viongozi wa nchi? Bila kujua sababu huwezi kuwa na hoja ya muhimu zaidi ya kujaribu kuchekesha watu.

Lakini mika mitano kulikuwa na Corona? Magu alikuwa na chanjo au? Hatuwezi kufanya maamuzi kwa mazoea inabidi ufanya maamuzi kutokana na mahitaji ya nchi. Hata Botswana walikuwa hawaendi lakini mwaka huu walikuwemo
 
Kama unammisi sana dikteta twende tukakufukie kwenye kaburi lake msituchoshe.

Zama za kishamba zimekwisha lazima mlikubali hili na hii nchi hatuwezi kurudia kosa kuwakabidhi washamba.
wewe ni nani? mjinga mmoja usiye na maana
 
Kipindi kile ulibanwa mpaka basi now umeanza kuona nuru ahahaaa.

Ila utawala utakaokupa wadhifa wa kiuongozi siyo huu vuta subra to next season, ila haww waliopo nothing.
 
Hakwenda UN kwa sababu kubwa 2;
1. Kale pacemaker maarufu kama kabetri kalikuwa kana mfanya asiwe comfortable na usafiri wa anga, hasa safari ndefu
2. Lugha ya Malkia au English ilikuwa haipandi pamoja na kuwa holder wa FAKE PhD
 
Kwenda huko ni part ya kazi yake..., Tatizo ni kadamnasi anayokwenda nayo....
 
Kama unammisi sana dikteta twende tukakufukie kwenye kaburi lake msituchoshe.

Zama za kishamba zimekwisha lazima mlikubali hili na hii nchi hatuwezi kurudia kosa kuwakabidhi washamba.
Wewe akili hutumii unatumia matako

Matako yanaweza kufanya chochote kama macho na sehemu zingine za mwili zisipokuwa makini HII TANZANIA

NANI ALINUNUA NDEGE ALITENGENEZA MELI , ALIJENGA FLYOVERS , ALIJENGA HOSPITALI ZA MKOA KILA MKOA

NYERERE MWENYEWE ALIACHA KWAO BILA KUJENGA HATA KITUO CHA AFYA

HOSPITAL YA MKOA WA NJOMBE , IRINGA , SHINYANGA , MARA, RUKWA, SIMIYU GEITA
HOSPITAL YA MKOA WA TABORA , SINGIDA , KITUO CHA AFYA KIBAHA KIKUBWA SANA

HOSPITA YA AFYA YA KANDA YA KUSINI IKO LINDI , HOSPITAL YA KANDA YA ZIWA IKO CHATO

HOSPITAL YA KANDA YA KATI DODOMA

VIFAA VILIVYONUNULIWA BUGANDO, MUHIMBILI, KCMC,

NANI KAFANYA HIVYO UMEME SASA KILA MAHALI , ELIMU BURE, LA KWANZA HADI KIDATO CHA NNE , CCM KUIRUDISHA KWA WANAINCHI MPAKA MAVAZI YA CCM WATU WAKAWA WANAPITA NAYO KARIAKOO WAKATI ZAMANI UNAPIGIWA YOWE

HAYA UJENZI WA SGR, BWAWA LA UMEME , NIDHAMU YA URUMISHI SERIKALINI , UFISADI WOTE ULIONDOKA , UJENZI WA STENDI ZIFYATAZO

KOROGWE, SIMIYU MWANZA DODOMA , MBEZI MAGUFULI TERMINAL, MTWARA , RUSHWA ZA BARABARANI ZILIKOMA

UPIGAZI SERIKALINI ULIKOMA ,BEI YA UMEME KUVUTA VIJIJINI NI TSH 27000 TU


MATAJIRI KUONEA WANYONGE WALIKOMA KODI KILA MTU ALIIPA MACHINGA WALIKUWA WANAISHI KAMA ULAYA

TOZO ZA MAZAO YA BIASHARA
PEMBEJEO WANSINCHI WALIKUWA WANAPEWA BURE KABISA NA MBEGU ZA PAMBA

HIVI WEWE AKILI YAKO INATUMIA MATAKO

SAFARI ZA NJE ZA HOVYO ZILIISHA ZOTE , MIRADI ILIKUWA INAKAMILIKA KWA WAKATI

HADI TAIFA STAR ILIENDA KUSHIRIKI MASHINDANO YA AFRICA SIMBA IKAIINGIA ROBO FAINALI BILA SHIDA

TUSEME NINI VIVUKO VYOTE VYA KWENDA BUKOBA , UKEREWE, BUSISI, KWENDA ZANZIBAR VILIIMARISHWA

HIVI UNATUMIA AKILI AU MATAKO WEWE

NAOMBA MAGUFULI MUACHE APUMUZIKE KWA AMANI

NCHI DUNIA YOTE WAFANYAKAZI WAKE WAMEKOSA KAZI WENGINE WAMEACHISHWA SERIKALI KWA AJIRI YA KORONA LAKINI MAGUFULI ALIKUWA ANAWALIPA MPAKA KORONA ILIISHA

MPAKA SASA WAFANYAKAZI WA SERIKALI HAKUNA ALIYEACHISHWA KAZI KWA SABABU YA KORONA MATAIFA MENGI IKIWEMO KENYA NA UGANDA MPAKA BAADHI YA NCHI ZA ULAYA

HIVI WEWE AKILI YAKO NI MATAKO MPAKA UNAANZA KUMUBEZA MAGUFULI

MAGUFULI ALIKUWA DAWA YA KORONA

NAOMBA TUMUACHE MZEE WETU NAAMINI AMETUVUSHA SALAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…