Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika kufanikisha majukumu yako.
Ila kama wewe mpaka utafute badala ya kutafutwa, utakuwa huna tofauti na kiazi.
Aya twende kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?