Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

Katika utendaji wako wa kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?

Kuna mtu anakuwa ameshikilia 'core function' ya taasisi, asipokuwepo anapelekewa usafiri kwenda kumchukua.

Ni kama ndege ikipata tatizo, utaagiza ata fundi kutoka Marekani aje atatue tatizo.​
Siyo kwa dunia ya leo. Wasomi ni.wengi sana unless maboss kama hawako makini
 
Mbaya sana ,hiyo labda kama unapata bahasha kidogo ...Kuna watu viburi hata kazi hawapewi ,ila wewe mjanja utarundikiwa kazi mpaka ujute.
Kama ni sekta binafsi wewe unakuwa umeibeba taasisi, usalama wa ajira yako utakuwa 100%
 
Kuna mtu ni kila kitu , unaweza kuta ni mtu wa finance ila ni mjanja ana basic zote za computer.
.Mkuu wake anaweza kuambiwa aandae ripot nzuri ila anajua akimpa secretary atalipua ,basi anamtafuta mchizi.

.kuna watu wanafanya kazi na wana uelewa mpana wa mambo ,hiki ni kipawa. Mimi nilishawahi kuchuliwa kwendda kufanya kazi kwa muda kwenye department fulani , tofauti na kada yangu tena haviendani hata kidogo ,kwa muda wa miezi 5..

Ishu waliona noma ni kwamba wakija wakaguzi ,natonywa mapema .. Tatizo lilikuwa wako wachache sana.
Unataka kuniambia mtu mmoja asipokuwepo kazi zinalala?
 
Kuna ni kila kitu , unaweza kuta ni mtu wa finance ila ni mjanja ana basic zote za computer.
.Mkuu wake anaweza kuambia aandae ripot nzuri ila anajua akimpa secretary atalipua ,basi anatafuta mchizi.

.kuna watu wanafanya kazi na wana uelewa mpana wa mambo ,hiki ni kipawa. Mimi nilishawahi kuchuliwa kufanya kazi kwa muda kwenye department fulani , tofauti na kada yangu tena haviendani hata kidogo ,kwa muda wa miezi 5..

Ishu waliona noma ni kwamba wakija wakaguzi ,natonywa mapema .. Tatizo lilikuwa wako wachache sana.
Ata hospitalini, watasema njoo siku fulani atakuwepo mtu fulani
 
Tunatafutana
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.

Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika kufanikisha majukumu yako.

Ila kama wewe mpaka utafute badala ya kutafutwa, utakuwa huna tofauti na kiazi.

Aya twende kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa​
 
Back
Top Bottom