Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Inatafsiri, wewe ni mtu wa thamani kwenye jamiiSeriously Mimi ndio natafutwa
Taasisi zina idara,wewe unaetafta sympathy kivyako.majukumu yote online.Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika kufanikisha majukumu yako.
Ila kama wewe mpaka utafute badala ya kutafutwa, utakuwa huna tofauti na kiazi.
Aya twende kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?
Inatafsiri nyote hamjui kitu, ni sawa na kipofu kutaka kumuongoza kipofu mwenzieIkitokea tunatafutana kwenye kitengo chetu
Sio kusaidiana mkuu maan hili kama tofali la kichwaInatafsiri nyote hamjui kitu, ni sawa na kipofu kutaka kumuongoza kipofu mwenzie
Taasisi zina idara,wewe unaetafta sympathy kivyako.majukumu yote online.
Ni sawa na daktari wa upasuaji wa moyo, utamsubiri tu taka usitakeSio kusaidiana mkuu maan hili kama tofali la kichwa
Mpaka akutumie wewe, maana yake hakuna mbadala; we ndio 'problem solver'Sema unatumika😂😂
Wewe ni nani mpka utafutwe. Labda kama ni kampuni ya mchongo..real companies never depend on a single individualUnaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika kufanikisha majukumu yako.
Ila kama wewe mpaka utafute badala ya kutafutwa, utakuwa huna tofauti na kiazi.
Aya twende kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa?
Hilo ni jambo zuriNilikuwa natafuta Lakini baada ya kuacha kazi natafutwa.
Watu walijua wanaweza kugoogle au kutumia AI kutimiza majukumu yangu kumbe ni big no.
Saizi napiga mzigo flat Kwa makubaliano ,habari za kuajiriwa sitaki Kwanza umri wangu umepita.
Nipe kazi nipige mzigo nipite hivi
I need 5000 dollars per week .
5000 x 2600=?
Sometimes thamani ya mtu huonekana asipokuwepoHilo ni jambo zuri
Wewe ni nani mpka utafutwe. Labda kama ni kampuni ya mchongo..real companies never depend on a single individual
Mbaya sana ,hiyo labda kama unapata bahasha kidogo ...Kuna watu viburi hata kazi hawapewi ,ila wewe mjanja utarundikiwa kazi mpaka ujute.Mpaka akutumie wewe, maana yake hakuna mbadala; we ndio 'problem solver'
Ooh sawa ila wengine tunaishi kama marubani wawili wanaendesha wengine wanatupa maelekezoNi sawa na daktari wa upasuaji wa moyo, utamsubiri tu taka usitake
Kuna wengine ata asipokuwepo hakuna athari zozote.Sometimes thamani ya mtu huonekana asipokuwepo
Hata big companies wanaweza kuwa na Mtaalam mmoja konki WA kuzibua vyoo, vikiziba lazima utafutweWewe ni nani mpka utafutwe. Labda kama ni kampuni ya mchongo..real companies never depend on a single individual