The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Siyo kwa dunia ya leo. Wasomi ni.wengi sana unless maboss kama hawako makiniKuna mtu anakuwa ameshikilia 'core function' ya taasisi, asipokuwepo anapelekewa usafiri kwenda kumchukua.
Ni kama ndege ikipata tatizo, utaagiza ata fundi kutoka Marekani aje atatue tatizo.
Kama ni sekta binafsi wewe unakuwa umeibeba taasisi, usalama wa ajira yako utakuwa 100%Mbaya sana ,hiyo labda kama unapata bahasha kidogo ...Kuna watu viburi hata kazi hawapewi ,ila wewe mjanja utarundikiwa kazi mpaka ujute.
Unataka kuniambia mtu mmoja asipokuwepo kazi zinalala?Hata big companies wanaweza kuwa na Mtaalam mmoja konki WA kuzibua vyoo, vikiziba lazima utafutwe
Wasomi wengi ni makaratasi tu, utendaji kazi hamna kitu; watu wanataka ''output with zero defect''Siyo kwa dunia ya leo. Wasomi ni.wengi sana unless maboss kama hawako makini
Swali dogo tu, kwa nini ukiumwa unachagua hospitali za kwenda?Unataka kuniambia mtu mmoja asipokuwepo kazi zinalala?
Hapo ndipo jibu lilipoSijaelewa mantiki ya huu Uzi
Mganga au?Seriously Mimi ndio natafutwa
Unataka kuniambia mtu mmoja asipokuwepo kazi zinalala?
Ata hospitalini, watasema njoo siku fulani atakuwepo mtu fulaniKuna ni kila kitu , unaweza kuta ni mtu wa finance ila ni mjanja ana basic zote za computer.
.Mkuu wake anaweza kuambia aandae ripot nzuri ila anajua akimpa secretary atalipua ,basi anatafuta mchizi.
.kuna watu wanafanya kazi na wana uelewa mpana wa mambo ,hiki ni kipawa. Mimi nilishawahi kuchuliwa kufanya kazi kwa muda kwenye department fulani , tofauti na kada yangu tena haviendani hata kidogo ,kwa muda wa miezi 5..
Ishu waliona noma ni kwamba wakija wakaguzi ,natonywa mapema .. Tatizo lilikuwa wako wachache sana.
Hii huwa ni mbayaKuna wengine ata asipokuwepo hakuna athari zozote.
Wengi wao wanaishi kwa midomo midomo tuHii huwa ni mbaya
Unaweza kujipima thamani ya utendaji kazi wako kwa jamii; wengi tunaamini kama wewe ndiye unayetafutwa ili kutatua jukumu fulani, inaonyesha wewe ni mbobezi na unakubalika katika eneo hilo.
Usipokuwa eneo la kazi, unapigiwa simu nyingi na mabosi zako; hiyo inaonyesha uwezo ulionao katika kufanikisha majukumu yako.
Ila kama wewe mpaka utafute badala ya kutafutwa, utakuwa huna tofauti na kiazi.
Aya twende kazi, wewe ndio unayetafuta au wewe ndio unayetafutwa