- Thread starter
- #21
Namba mbili sio kweli, mama yake nandy alikimbia ndoa, akaja Dar Ku tafuta maisha, a kaacha mume Moshi, akachukua watoto,
Usidanganywe na uyaonayo nje, ndoa zina Mambo mengi bro
Weka ushahidi kama mama nandy alikimbia familia. Mama wa watoto watano na mwanaume mmoja anaanzia wapi kukimbia familia
Familia ya kina nandy imeishi sana maeneo ya ubungo makuburi karibu na mabibo hostel. Walikuwa wanaishi wote baba na mama na watoto wao kina nandy. Walikuwa wanasali KKKT makuburi na kanisani walikuwa wanajulikana familia nzima.