Mzuka wanajamvi,
Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako.
Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au mambo yako safi unajitafutia tu matatizo. Watu Wana hali ngumu wanakula mlo mmoja kwa siku ni kuwa maskini.
Ni kote duniani huko Sri lanka hapakaliki maandamano njaA imetawala. Africa nchi zote hali ngumu. Na sasa hivi mafuta ya petrol na ya kula yanazidi kupanda.
Nikubana matumizi kupunguza starehe na kubadilisha mfo wa maisha uliouzoea mbeleni.