Pre GE2025 Katoliki na KKKT yawakataa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia Uchaguzi, sasa inasubiriwa BAKWATA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ungekuwa karibu ningekupa mtwangio kwenye 0713
 
hawa wapoo opposite, kama unabisha suburi, Govt imeweka mamluki mle ambao wao kazi yao ni ku-neutrize issue kama hizi ambazo zipo opposite na favor ya Serikali........ Wait and see!!
Acha utabiri!!
 
Labda wewe sio sisi au mimi
 
Ila hapo kwenye BAKWATA hapo, sina uhakika πŸ€”, Labda 😐, mhhm ni ngumu 😬.
 
Wazee wa bweche hao hakuna kitu usitegemee kitu chochote kutoka kwao kwanza utakuta Walaka wao unatoka huko wanakotakiwa wawape...Sheihk ni yule aliekua jela mara kapigwa risasi anasimamia Mali za Waislamu sio hao wazee wa Ubweche hakuna kitu..
 
Mwisho wa siku hiari Iko Kwa Serikali kuamua kuchukua maoni au kukacha.
 
Ni ukweli ulio wazi kabisa Wakurugenzi wa Majiji na Halmashauri ni wanachama wa CCM ama kwa siri au kwa uwazi. Hivyo basi kwa wao kuwa pia Wakurugenzi wa Uchaguzi, ni wazi watakuwa na upendeleo kwa wagombea wa chama chao.
 
BAKWATA SINDIYO TOILET PAPER YA CCM
 
Made waendelee tu,nyie TEC na kkkt mtajua wenyewe sisi wenye nchi tunasema maded wataendelea kusimamia na kuratibu uchaguzi.
 
Made waendelee tu,nyie TEC na kkkt mtajua wenyewe sisi wenye nchi tunasema maded wataendelea kusimamia na kuratibu uchaguzi.
Sawa sawa na Michango ya Team mchange nyie wenye nchi na kodi mtatoa nyie.
 
Hahahahaa hapo sasa wacha tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…