Ungekuwa karibu ningekupa mtwangio kwenye 0713Hao TEC ni kikundi cha watu wachache hawafiki hamsini, na hawawezi kuwasemea waumini wao, na hawakutumwa wawasemee. Wamekurupuka na makarasi yao tu. Kama waumini waliwatuma, watuonyeshe saini zao kuunga mkono hoja hiyo.
Waumini wao wana uhuru wa maoni, na wamekubali wakurugenzi wasimamie uchaguzi.