Mimi ni Muslim ila wewe brother unaleta vioja, hili ni tamko la TEC wakati wa magufuli.Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Huu hapa wa 2017. Mimi ni Muslim lakini ndugu zangu naona tunamezwa na propaganda za ccmMfano askofu gani na waraka gani waliutoa?
Naona unaunga mkono propaganda za CCM na HamasNi kweli tupu

Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawa
Safari hii cheap propaganda za CCM zitabuma.wameacha kuhubiri injilli, wamekuwa na ibada za siasa, RC duniani kote ni kivuruge, na inahusika sana kusababisha machafuko ya siasa, ndani ya kanisa waumini wana political ideologies tofauti, ila mapadri/maaskofu wanawalazimisha ziheshimiwe ideologies zao.
RC ndani ya mfumo wao ni autocratic kama serikali za kijeshi, they are never democratic, halafu wanajifanya ni champions wa democracy
Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Hoja ya kijinga kabisa , magufuli alipewa nyaraka nyingi pamoja na ukatoliki wake , nadhani hii sio hoja ya kuibeba ajenda ya TEC mnatia aibu tuWanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Hoja ya kijinga kabisa , magufuli alipewa nyaraka nyingi pamoja na ukatoliki wake , nadhani hii sio hoja ya kuibeba ajenda ya TEC mnatia aibu tu.Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Ulikua na miaka mingapi wakati Rwanda wanauana kaka? Usikute hi umeipata kwenye vijiwe vya KahawaWakatoliki ni watu hatari sana na ni watu wa fitna sana.ukichunguza migogoro mingi ya kisiasa Afrika wao ndio sababu.mfano Mauwaji ya kimbari,Rwanda
Mfano mwingine wa hiyo migogoro ya kisiasa barani Afrika ni upi? Au hayo mauaji ya kimbari ndio "migogoro mingi"?Wakatoliki ni watu hatari sana na ni watu wa fitna sana.ukichunguza migogoro mingi ya kisiasa Afrika wao ndio sababu.mfano Mauwaji ya kimbari,Rwanda
Dah braza unateseka sana aisee!Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
Umeambiwa hata rais Magufuli mkatoliki mwenzao alilimwa waraka wa kukemewa kwa serikali yake. Je, umesahau au unajitoa ufahamu kaka?Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana.
Kama hakujua kuwa maasofu wanakemea bila kufwata Imani ya mtawala atajuaje ya 2019, na 2020?Unao wa mwaka 2019 na 2020? Au walaka ulikuwa wa 2018 pekee?
Kwahiyo ni unataka kusema uisilamu ni dini isiyopenda haki? Kinachopiganiwa ni haki wala sio udini. Nyie mnaosema hivyo ndo wading.Wanaukumbi.
Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki.
Mama Samia ni Rais wa Watanzania wote hawezi kupewa matamko na nyie kama mnataka siasa ingieni kwenye ulingo.
Ibada nzima mtu anaendesha kampeni za siasa .
Huyu ndiyo aliwaita chadema kuwasuluhisha walipokua na migogoro ndani ya chama chao.
Wanakasumba ya ajabu sana ya kuangalia nani anatawala. 2019 na 2020 kimyaa kama hakukuwa na kasoro zozote za uchaguzi na utawala.
mbona walimsema Magufuli Mkatoliki mwenzao?,kwani huyu ni special sana kwamba asisemwe?,kama hataki kusemwa si aachane na urais?Wanaukumbi.