Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Habari zenu wakuu.

Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.

Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.

Hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu nimeanza kuishi nae mwaka 2019 naombeni ushauri wenu wakuu.

NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
 
Habari zenu wakuu.juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.sasa leo asubuhi nikawa nachat nae.kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake.kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi.sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu.nimeanza kuishi nae mwaka 2019.naombeni ushauri wenu wakuu.NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
Una uhakika gani huo ujauzito ni wako na sio wa X wake?,maana umekiri hapa wana mawasiliano ya karibu sana na X wake

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
JamiiForums-1576013313.jpg

#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#KitandaHakizaiHaramu

Jikaze braza. Kuoa wake za watu napo ni very risky....
 
Hapana mkuu huyo jamaa alikuwa nae toka tunaanza.ni kama nilimpora jamaa.
Wewe jifariji et ulimpora futa hio wewe by then you had an appealing nutrious palatable pastures za kuweka karibu zizi la kufugia ng'ombe sasa ng'ombe anarejea kwenye pre-dominant migratory corridor full of herbal grasses. Experience has taught me quite superbly.
 
Habari zenu wakuu.juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.sasa leo asubuhi nikawa nachat nae.kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake.kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi.sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu.nimeanza kuishi nae mwaka 2019.naombeni ushauri wenu wakuu.NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.

Hapa unaitaji ushauri? Usituhangaishe Bwana! Kuna watu walitakiwa wazaliwe wanawake tu
 
Habari zenu wakuu.juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.sasa leo asubuhi nikawa nachat nae.kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake.kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na mimi.sms yake aliyoituma kwangu ni kujitetea kuwa mimi nilipita short kati hadi kwa wazazi wake bila kumshirikisha yeye.hivyo yeye alilazimishwa na wazazi wake. Imeniuma sana ukizingatia kuwa mimi nilimfuata yeye kwanza na kwa wazazi wake tumeenda mwaka huu.nimeanza kuishi nae mwaka 2019.naombeni ushauri wenu wakuu.NB Ana unauzito ambao mimi nilichangia mbegu.
Bado unaomba ushauri ... Ungekuwa jirani hapa ningekupiga kelbu moja ya maana ni format hiyo kichwa yako.
 
Back
Top Bottom