Sasa mbona kwa mujibu wa hayo maneno ya "As you know,we've inherited quite budget crunch from President Trump".March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo yanayotokea leo!!😳😳
Kuna kitu hakipo sawa, Ila Ipo siku hata kama nitakuwa nimekufa Kitakuwa wazi..
Waliwahi Kutabiri Pia URais wa Trump na Pia Urais wa Obama
View attachment 3141766
View attachment 3141767View attachment 3141769
KIPANDE CHA video hili hapa .. Na ikumbukwe Hii Series ni Miaka ya 1990s mpaka 2000
View attachment 3141772
Hii inaonesha walitabiri Kamala atakuwa raisi baada ya Trump.
Mimi natabiri Kamala atakuwa raisi baada ya Trump.