Uchaguzi 2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

Uchaguzi 2020 Kauli hii ya Magufuli ya kuongezewa miaka 5 inaashiria kakata tamaa?

Nazani mwenyewe ameshaona upepo umebadilika isipokua waliopo karibu nae ndio walio mponza make walimuaminisha watz wote wanamkubali naukwelihuo ni uongo watu wamechoka miaka 5 inatosha ngoja tubadili muelekeo ili angalau tupate kula Milo mitatu kwa siku
 
"Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27"..huyu mzee amechanganyikiwa..Nyerere alikuwa raisi wa Tanzania toka 1964 mpaka 1985..kabla alikuwa waziri mkuu 1961 mpaka 1962 then raisi wa Tanganyika 1963 mpaka 1964..sasa miaka 27 ametoa
Wapi...
 
Anajifananisha na watangulizi wake ambao hamna hata mmoja wao walipotawala wapinzani walipigwa malisasi!! Ni katika utawala wake mpinzani wake alipigwa risasi 16 na akapona na waliohusika hawajakamatwa mpaka hivi sasa. Utawala wake mbovu ni sababu tosha ya kumtosa!!
Uliza kwanza wakubwa wako wanaojua historia ya siasa

Umezaliwa 2002 unazungumzia tawala hizo

Una uhaba mkubwa wa taarifa

Ukute kuna madogo wanakurupuka kumchukia wakiamini ndio katili kupitiliza

Hawajui ya nyuma
 
Hivi Magufuli anshindwa nini kubadilisha gia angani akaja na hoja ya kujenga miundombinu ya umwagiliaji kwa wananchi, maji kwa wote, umeme kila kitongoji, masoko ya mazao na viwanda vya kusindika mazao, nyasi za bandia viwanja vyote vya michezo kila mkoa, trecta kila Kijiji? Naona Bado kakomaa na kuongeza ndege.

Bavicha hivi wewe unaishi wapi mbona hayo yote yanasemwa kila leo?hahaaha Kamanda najua october mtakimbia
 
Tupo Bunda tunachanja mbuga
Kweli mnachanja mbuga mmeishiwa kweli , hamna Cha kusema mtasema nini ?
Screenshot_20200904-193322.png
 
Linganisha na hotuba za Lisu anazo ongea hadi mishipa ya damu kichwani inasimama na mate mdomoni kumtoka hovyo halafu anajifuta kwa mkono wa shati! Aibu tupu.
 
Lisu mpaka tukamfundisha cha kuongea

Mwanzo ilikuwa habari ya risasi tum

Tukamwambia waambie watu utafanya nini sio habari za Risasi kutwa kucha

Ndio akabadilika
 
ukijumuisha na TBC kuhitaji suluhu na CDM maana yake JPM ndio amebariki maagizo hayo ya suluhu-sio rahisi kwa CCM na utawala huu wa JPM kufanya hivyo.

inawezakana sisi wananchi tunavyoichukulia CDM simple sio ambavyo CCM wanaichukuli,

sasa ni dhahiri kuna kitu kikubwa CDM na CCM wanakujua sisi wananchi wengi wa kawaida tupo gizani.
 
Tena ashukuru tuko kwenye nchi hizi ambazo watu wasiojielewa ni wengi,watu wanaodhani kua mnyonge na maskini ni ufahari na kua maskini ni haki yake Mungu alivyompangia.Vinginevyo ata miwili asingemaliza angeshaku mstaafu ndo maana ata ywye mwenyewe anajua kaparfom chini ya viwango vya watangulizi wake.
 
“Baba wa Taifa Mwl.Nyerere mlimpa miaka 27, akaja Mwinyi mkampa miaka 10, akaja Mzee Mkapa (Mungu amlaze mahali pema) mkampa miaka 10, amekuja Kikwete mkampa miaka 10, Mimi nina dhambi gani mnataka mnipe miaka 5 tu!?, nawaomba nipeni miaka mingine 5 zaidi”-JPM


Kashaona hapa kuchomoka ni ngoma. Huo ujumbe haujatumwa kwa Wananchi bali kwa vyombo vikubwa a.k.a vyomba vya dola. Nec, polisi, Jeshi, na wale wa vipepeo
 
Tena ashukuru tuko kwenye nchi hizi ambazo watu wasiojielewa ni wengi,watu wanaodhani kua mnyonge na maskini ni ufahari na kua maskini ni haki yake Mungu alivyompangia.Vinginevyo ata miwili asingemaliza angeshaku mstaafu ndo maana ata ywye mwenyewe anajua kaparfom chini ya viwango vya watangulizi wake.
Kabisa yaani na bado atalia lia tu. Ndio kwanza wiki ya pili. Huyu atamaliza kweli wiki nne??
 
Back
Top Bottom