Kauli hii ya mke wangu imenishtua kidogo

Ni kweli kama mimi pia basi naupweke .
Tunatofautiana mie sipendi kuwa single forever
 
Mkuu usiogope alikuwa anakutishia nyau uyo shemeji yetu we endelea kumpiga mpini tu
 
Nimecheka kama mazuri vile..... Pole sana hakuna mapenzi hapo
 
Kosa kubwa jamii ilifanya ni sisi wanaume na wazazi kuunga mkono mkono kuwa ukimuelimisha mtoto wa kike umeiokoa jamii. Kumbe ukweli ni kwamba ukimuelimisha mtoto wa kike na kumuwezesha unaingamiza jamii....
Mmeanza wazimu sasa eti eeeeh??????
 
Mambo ya kufanya mke rafiki yatawakost vijana wa kileo...umeona sasa mke amekuweka kiganjan...yaan amekutawala

Mke ni amri tuu..hahahhahaha

(Usiamin nilichoandika)
Bora umejiami mapemaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu umelipata, mwanaume unadadisi mambo ya watu ya nini
 
Umepata ulichokuwa unakitafuta!!
 
Afadhali yako wewe,.mimi Kuna siku tunaangalia muvi,..Basi mwanamke akapigwa Kofi na mumewe..yeye akaropoka kuwa nikiolewa Mimi mume akinipiga hivyo narudi kwetu..nikasema huyu kajisahau kuwa kaolewa au anajua anaishi na Jini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…