Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

You'll Never walk alone hayakutolewa na Msemaji wa Liverpool.
The theatre of Dreams hayakutolewa na Msemaji wa Man U.
Asante sana Mkuu.
Tanzania kila kitu kwenye Mpira wanahisi kinahitaji Hamasa na Wahamasishaji.
 
Kauli hizi ni mhimu sana...kwa mashabiki kote Duniani Mkuu
Manchester United kuna kauli wanazo ukizisikiliza mzee zinavutia sana mashabiki wanapata Matumaini hata kama Team yao haifanyi vizuri.
Mfano wanazo zifuatazo.
MANCHESTER IS MY RELIGION
MANCHESTER IS MY HEAVEN
GLORY GLORY MAN U
THERE'S NOTHING ON EARTH LIKE BEING A RED
WE WILL NEVER DIE
Hizi ni moja wapo tu na zilitolewa na watu wakubwa pale kama wachezaji na makocha na zinaishi hadi leo na Mashabiki hua wanazitumia sana na Ni kali mnoo.
Bila kusahau YOU WILL NEVER WALK ALONE
 
Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela.
Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha.
#The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe!

#Hii Imeenda


View attachment 2822219
Ngoja ikae wasapu kwangu kabisa maana nilikuaga nimekosa cha kusapoti picha ya Max zingeli
 
Huyo atakua ni color blindness

Jua halijawahi kuwa la njano msikubali kuingizwa chaka na Mzulu
 
Back
Top Bottom