APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa wachezaji wanzuri wameshinda kusajili wa kina adebayor, manzoki simba hawana kiungo mkabaji.
Simba inashangaza una muacha zolani una mchukua mgunda sasa simba inaposema ni team kubwa haina uhalisia kumbakisha zolani wameshindwa wana baki kusingizia tumefikia maumuzi ya pande zote mbili, hawaamini macho yao sasa simba hawaamini kweli wawe wana angalia hizo kauli zao wanazotoa maana zina waibisha wawo wenyewe.
Simba ikipoteza na nyasa big bullet hapata kalika msimbazi, Mungu naomba simba ishinde.simba kumuacha morrison walikosea sana, hahahaha mgunda anakaa benchi matola anapanga kikosi jamani jamani mbona tutaona mengi sana.