Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

Kauli mbiu ya Simba "Hatukamatiki, Hatushikiki" haina uhalisia kabisa, bora "Byuti Byuti," Yanga waliona mbali sana

Nyie simba kilicho baki sasa ni kukosoa tu,labda nikuambie wewe uliyesoma mpaka sasa unakipi unachoringia???kwanza elimu yako haijakufaidisha,unafanya kazi za watu,mshahara mdogo,mpaka sasa unaishi nyumba ya kupanga kwelii au uongo??mimi sijasoma kweli ila ninavyomiliki labda mjukuu wako ndio atakujakuvimiliki sio wewe kapuku,kazi kuangalia mapungufu yamtu acha ushamba wasomi hawaishi hivyo
Kuandika tu hujui unamiliki nini si itakua hata hvyo vitu ameandikwa mtu mwingine ila hujui jamii forum hapa ni kawaida kila mtu anasema ana kazi na anamiliki gari ila kule jukwaa la ajira na kazi walikuwa wanaomba ufafanuzi wa kuomba sensa na utumishi account zao zinazingua subirini muende airport mkawapokee big bullet ndo maana manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu.
 
Kauli mbiu lazima ibebe uhalisia,huwezi kusema hatukamatiki wala hatushikiki kwa team gani uliyonayo? huwezi tukana mamba ukavuka mto, babra kinacho muumiza sasa ni hizo kauli mbiu zisizo na uhalisia, sasa simba hawamtaki hata yeye, mwaka huu mpaka moo hawatamtaki viongozi hawako serious kabisa wachezaji wanzuri wameshinda kusajili wa kina adebayor, manzoki simba hawana kiungo mkabaji.

Simba inashangaza una muacha zolani una mchukua mgunda sasa simba inaposema ni team kubwa haina uhalisia kumbakisha zolani wameshindwa wana baki kusingizia tumefikia maumuzi ya pande zote mbili, hawaamini macho yao sasa simba hawaamini kweli wawe wana angalia hizo kauli zao wanazotoa maana zina waibisha wawo wenyewe.

Simba ikipoteza na nyasa big bullet hapata kalika msimbazi, Mungu naomba simba ishinde.simba kumuacha morrison walikosea sana, hahahaha mgunda anakaa benchi matola anapanga kikosi jamani jamani mbona tutaona mengi sana.
Yaani Mgunda kaacha ukocha Coastal kwenda kuwa mpanga koni.
 
Kuandika tu hujui unamiliki nini si itakua hata hvyo vitu ameandikwa mtu mwingine ila hujui jamii forum hapa ni kawaida kila mtu anasema ana kazi na anamiliki gari ila kule jukwaa la ajira na kazi walikuwa wanaomba ufafanuzi wa kuomba sensa na utumishi account zao zinazingua subirini muende airport mkawapokee big bullet ndo maana manara alisema yanga wenye akili ni wawili tu.
Hahaha nicheke kidogo,wewe nakuita tena wewe:hiyo elimu uliyonayo ni ipi??ya chuo mhh mbona siku hizi kuna vyuo vingi hata chuo cha unafiki na uongo pia ni chuo;au labda nikueleweshe una degree ya nini??alafu una ngapi??mbona unamawazo madogo sana,inaonyesha jinsi unavyoshindwa kutumia kichwa chako vinzuri kufikiria,hauna elimu yeyote alafu sasa hivi wanaograduate ni wengi hata darasa la saba sasa hivi wanagraduate.

Unaambiwa soma ili uweze kuendana na mazingira ya sasa,tumia kichwa chako kinzuri kufikiri, ni kawaida hapa jamii forum mtu kusema amesoma kumbe haja soma.acha shobo,acha ushamba ulumbukeni umekujaa elimu uwe nayo wewe 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom