Kauli ya Chongolo ni ufedhuli kwa wasomi wa vyuo vikuu. Ipingwe!

Huyu haj
Hajui kitu huyu mnahangaika nae bure tu. Na hafai kusikilizwa hapa hajui anazungumzia jambo lenye sifa gan na nini aongee. Hata kama Ana PhD huyu tatizo kama hili hawez toa hoja ya kusikilizwa Kwa akili hizo kima tu huyo
Umevurugwa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa Kaka tunabishana na wanasiasa so, hatuwez kufikia jibu zuri. Hawwez kuvaa uhusika. Wanalaumu wahanga wa mfumo huu mgumu... Hata nkiwapa kitabu hapa wasomi wa nchi zilizoendelea wamelizubgumziaje tatizo hili Kwa akili za hawa humu kazi buree tu
 
Umevurugwa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnatuharibia fani Kaka. Haya mambo ya kijamii wengi hawayajui so wanaona Wana Hali ya kuongea tu sababu Wana digrii au viongozi.

Mm sipo tayari kuona watu wanaharibu fani za watu wengine. Sisi watu wa kijamii mbona hatuingilii jukwaa la madokta kuanza kutoa dawa au Suluhu Kwa wagonjwa.
 
Wamasai waliosoma wahadzabe walio soma hakuna?
Hujaelewa mantiki yangu. Tatizo la ajira ni tatizo la jamii za kisasa.. Industrialized communities sio hunter-gatherers wala pastoralist. Lazima tusiojua, tujue kwanza concept ya "carrying capacity" ili tuzungumze kuhus ajira kama fursa na idadi ya watu inaathiri vipi hii kesi. Tatizo la ajira ni serious nchi za dunia ya 3 na pili.
Wanaokosa ajira huku hawaoni fursa na mpaka hela ya kununua vocha wanakosa. Wanaoenda kuubeba boksi Sweden mnawaona wajinga? Jaribu kwenda kuubeba boksi au matenga sokoni mbande au Temeke stereo uone kama utapata. Lakin hizo ni kazi za kit Wana nchi zilizoendelea
 
Kwa mtazamo wangu enzo1988 umejibu hoja kwa hoja nzito.

Umetaja kitu kikubwa sana ambacho 'wabeba shahada' wengi 'degree holders' wanakikosa halafu wachache wanabahatika kutambua na wengi hawabahatiki ,,, 'ujuzi wa mikono' ambao nchi nyingi zilizofanikiwa ziliupa na zinaendelea kuupa kipaumbele.
 
Wanafunzi wengi wanaomaliza mavyuoni vita za huku uraiani hawajui

Hivi huwa najiulizaga inakuwaje mtu Ana graduate uhandisi huko mlimani
Lakini hawezi kutumia vifaa kama drilling machine,grinder machine nk
Mwanafunzi kutumia machine tools
Haweziii...alafu anakuambia mhandisi

Hivu huko wanafundishwa kukariri tu

Ova
 
Chongolo tangu amepewa hiyo nafasi amekuwa anajitamkia mambo ya Hovyo. Yaani anajiona kuwa yeye ndiye Waziri wa kila wizara KUTOA amri hata Kwa Waziri!
Anatambua kabisa kuwa chama chake ni uozo na kimesababisha madhara mengi mno Kwa hili Taifa anajifamya kupakua rangi ila aelewe ubovu, wizi Rushwa na utapeli bado uko ndani mwako! Chama changu Sasa hivi ndio walaji wakubwa kama yeye namba Moja anatembea kila kona Kwa lipo jema. Hiyo pesa angeipeleka kwenye huduma za jamii.
 
Kabla haujalaani kauli ya Chongolo nenda kashangae UDSM, wanashirikiana na taasisi fulani kueendesha mafunzo ya maarifa yanayofaa karne ya 21. Hayo mafunzo yananufaisha takribani wanafunzi 250 kwa mwaka. Tukigeuza inakuwa hivi: Kati ya wahitimu zaidi ya elfu tano wa UD,, ni 250 pekee ndo wanapata maarifa yanayofaa karne 21. Hili ni tusi kubwa kwa UD lakn mapropesa wanachekelea labda vile mpunga unaingia
 
Chongolo yupo sahihi tu,kwani uko chuo Kikuu wanafundishwa kila kitu;kwamfano nataka kusomea ufundi seremara,mwashi,welding, plumbing nk,nitavikuta chuo Kikuu?
Ila vyuo vikuu kama unataka kuwa mbobevu kwenye masuala ya Research,hapo komaa na elimu ya university!
 

Shida ni mtu kutopenda anachosomea kama wana enda field mathalani kwenye kampuni za ujenzi kuna kila aina ya tools lakini badala ya kujifunza kwa vitendo kazi yao kuuliza tu maswali lakini pia mda wa likizo kwa nini wasiutumie kwenye kwenye kampuni za ujenzi kuchukua ujuzi kampuni ya ujenzi vifaa vyote vipo.. kiutendaji mwanafunzi wa Veta atakuwa juu na private sector wanataka mtu wa kufanya kazi sio vyeti kwa upande wangu serikali sio wa kulaumiwa wanachuo ndio wakulaumiwa kwa sababu dunia wanaona nini kina itajika kwenye ushindani wa ajira..
 
Kwahiyo kocha wa timu ya mpira nichezaji mzuri kuliko anaowafundisha!
Hapo kateleza walimu wa veta kada ya ufundi wana zalishwa na Veta wenyewe kupitia chuo cha ualimu wa ufundi Veta Morogoro hakuna chuo kikuu wana fundisha uselemala
 
Kaka, tisipime ubora wa elimu Kwa kigezo cha ajira. Tutachanganya mambo mawili Kwa wakati mmoja bila Kujua tunaelekea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…