Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

Ukiwa unalipa ada milioni 10 kwa mtoto wa primary ni rahisi kuamini watz wote ulipa ada milioni 10
Sasa kama mwanannchi analipa ada 10M kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wewe mwananchi mwingine unashindwaje kulipa elfu 5 ya tozo tu?
 
Sasa kama mwanannchi analipa ada 10M kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wewe mwananchi mwingine unashindwaje kulipa elfu 5 ya tozo tu?
Ukiwa na hela au Kazi ni rahisi kuamini atembeaye kwa miguu kakosa 400 ni mjinga au mvivu.
Kama watu wanakufa kwa kukosa 500 ya Panadol sababu hawana mazingira ya kuzalisha uchumi unaweza dhani ni wavivu au wazembe
 
Na hizo ndio akili na imani za wana Mataga wanaonemeka na uovu wa serikali ya ccm. Hawaamini kabisa kama kuna Mwananchi maskini. Hata wakiona mtu maskibi hudhani ni kwa ujinga wake
 
Mungu alivyo mjanja ukimwi akauweka pale kati patamu, maza naye kaona isiwe tabu kwanini akusanye kodi kwa kutumia vikosi kazi, ndo hivyo kaweka kodi pale kati patamu.
 
Mbaya zaidi huyo jamaa yako hajui hata kufafanua ni vipi hiyo pesa itasaidia yeye analeta ngonjera zisizo na msingi
 
Mungu alivyo mjanja ukimwi akauweka pale kati patamu, maza naye kaona isiwe tabu kwanini akusanye kodi kwa kutumia vikosi kazi, ndo hivyo kaweka kodi pale kati patamu.
hahahaa hata ukituma pesa kwa mchepuko itakatwa tu😅😅
 
Mwigulu hatafanywa lolote ametumwa na system ovu iliyomfikisha hapo alipo. Mtalalamika hivi hivi ma tozo mtakatwa tu. Kama hutaki hamia somalia.
Siku akitumbuliwa itakua ni zaid ya sabaya bar zitaishiwa vinywaj nakuhakikishia
 
Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.

Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.

Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.

Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.

Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.

Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.

wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.

Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Uzalendo wakati mda wote yupo kwenye liV8 ,mwambie apunguze mshaara, malupulupu, atembee suzuki jimmy, ndo tuone uzalendo wake, leo mtu anaishi maisha ya peponi, tena KWA kodi zetu ,eti uzalendo,

Kama uzalendo ndo huu wa viongozi wa tz Basi bado tuna safari ndefu tz
 
Safari ni ndefu mno. Mpaka watanzania tutakapoamua. Hii ni early stage ya kujitambua. Sasa madhara ni kwa wote. Tutaelewana
 
Back
Top Bottom