Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bohoro bohoro…nimeanza kujifunza lugha ya dokta Mpango. Burundi inatuhusu. Dunia inakwenda kasi sana. Watanzania leo wakimbizi Burundi.wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.
Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
👍👍Jamani kama tunataka nchi yetu isonge mbele kiuchumi basi tulipe kodi hakuna namna, binafsi naona hii Kodi inayolalamikiwa ndiyo inawagusa wengi inamanufaa na itatunisha mfuko vizuri. Kama vyanzo vingine vya mapato vipo mshauri basi ili mapato yapatikane na sio kulalamika tu.
hiyo sio kodi ni tozoHakuna dabo taxation
Na ww ondoka kwa shemeji yako uje na ww ulipe kodiJamani kama tunataka nchi yetu isonge mbele kiuchumi basi tulipe kodi hakuna namna, binafsi naona hii Kodi inayolalamikiwa ndiyo inawagusa wengi inamanufaa na itatunisha mfuko vizuri. Kama vyanzo vingine vya mapato vipo mshauri basi ili mapato yapatikane na sio kulalamika tu.
Tozo na kodi nini tofautihiyo sio kodi ni tozo
Kodi ipo kisheria. Tozo ni mambo ya solidarity😅Tozo na kodi nini tofauti
Una pepoHawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.
Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.
Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.
Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.
Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.
Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.
wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.
Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Uzalendo wa kulazimisha?Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.
Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.
Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.
Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.
Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.
Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.
wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.
Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Mifuko yenyewe,huwa inafanya nini zaidi ununuzi wa waunga juhudi wa malipo ya wale19.Tunafunga mkanda kutunisha mifuko ya wanaccm
Mifuko yenyewe,huwa inafanya nini zaidi ununuzi wa waunga juhudi wa malipo ya wale19.Tunafunga mkanda kutunisha mifuko ya wanaccm
Hii nchi bila kuwa na watu wajasiri haiwezi kwenda tabia za ulalamishi ,kukosoa,kulaumu imekuwa jadi kubwa.
Hawa pumbavu sana watu hawataki kulipa kodi unategemea nini? Waliojiita wafuasi wa Zuma wako wapi? Zuma yuko ndani na wale wapumbavu wanashughulikiwa.
Serikali haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki saizi hata kodi hazikusanywi,watu hawalipi kodi na hii ya mshikamano wanazingua,Maza vipi? Si wamuwekee ngumu kodi zilipwe nchi isogee,bila maamuzi magumu hatufiki.
Mimi kama mgambo wa kijiji unenikosea sanaacha kihere-here kama mke wa mgambo.
Kodi isiyolipika ufaa nnKodi ipo kisheria. Tozo ni mambo ya solidarity😅
Hapo tu ndio wanakera hawa wakata kodiMifuko yenyewe,huwa inafanya nini zaidi ununuzi wa waunga juhudi wa malipo ya wale19.
Mtaishia kulalama mitandaoni hakuna kitakachobadilika pimbi nyie