Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

Ww si unalelewa na mkeo hivyo huoni uchungu wowote. Sisi tunaomuhonga mkeo ndio tunakutana na uchungu wa mpaka ya kutolea.
Mstusi hayatakusaidia usilipe kodi ya miamala na unfortunately hakuna kitu utabadili,wajinga kama wewe hamieni ambako kodi hazilipwi pumbavu.
 
Sasa kama mwanannchi analipa ada 10M kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wewe mwananchi mwingine unashindwaje kulipa elfu 5 ya tozo tu?
Wewe akili zako ziko matakoni , kwa sababu hujui kwamba maisha ya binadamu hayafanani na hujui kwanini wengine wanatupa chakula na wengine wanaokota makombo,
 
Na ww ondoka kwa shemeji yako uje na ww ulipe kodi
Mkuu, sio kwamba mimi silipi kodi au siumizwi na hii Kodi ila naamini kuwa kuumia huku ni kwa nia njema katika kujenga taifa letu, hususani kutekeleza miradi ya kimkakati
 
Mstusi hayatakusaidia usilipe kodi ya miamala na unfortunately hakuna kitu utabadili,wajinga kama wewe hamieni ambako kodi hazilipwi pumbavu.

Ww ulipotukana hayo matusi yalikusaidia? Ukija na lugha za kishenzi unajibiwa kwa tone hiyo hiyo. Unataka tubadili mara 2?
 
Mkuu, sio kwamba mimi silipi kodi au siumizwi na hii Kodi ila naamini kuwa kuumia huku ni kwa nia njema katika kujenga taifa letu, hususani kutekeleza miradi ya kimkakati

Uumie ili viongozi wastaafu wakajengewe mahekalu, na kupewa magari ya kifahari. Uumie ili silaha zikanunuliwe za kuulia wapinzani ili waporwe kura?
 
Na viongozi kama wananchi tunakamuliwa hivi halafu eti tusikie fedha inaenda kununua viongozi wa vyama vya upinzani, au unatokea ufisadi wa kutisha, au mnalipana maposho ya kufulu, wakati wananchi tunaishi maisha ya shida msitegemee kuungwa mkono kwa mambo haya. Mjitafakari
 
Hapo ndiyo tatizo lilipo,daah. Sema Kama kweli viongozi wana nia ya kujenga nchi wafanye Kwanza mabadiliko ya kupunguza mambo ya hovyo Kama haya. Itakuwa ngumu Sana kuwashawishi wananchi wakati wao hawaongozi kwa mfano
 
Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.

Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.

Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.

Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.

Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.

Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.

wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.

Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Usitutakie balaa! Tafadhali sana! Huyo mmoja keshakuwa mwiba mkali halafu unatutakia wengine wawe 1000!!
 
Hapo ndiyo tatizo lilipo,daah. Sema Kama kweli viongozi wana nia ya kujenga nchi wafanye Kwanza mabadiliko ya kupunguza mambo ya hovyo Kama haya. Itakuwa ngumu Sana kuwashawishi wananchi wakati wao hawaongozi kwa mfano

Kwa taarifa yako kadiri pesa vitakavyokuwa nyingi, ndio jinsi viongozi watakavyozidi kujipendelea.
 
Hii nchi bila kuwa na watu wajasiri haiwezi kwenda tabia za ulalamishi ,kukosoa,kulaumu imekuwa jadi kubwa.

Hawa pumbavu sana watu hawataki kulipa kodi unategemea nini? Waliojiita wafuasi wa Zuma wako wapi? Zuma yuko ndani na wale wapumbavu wanashughulikiwa.

Serikali haiwezi kuwa dhaifu kiasi hiki saizi hata kodi hazikusanywi,watu hawalipi kodi na hii ya mshikamano wanazingua,Maza vipi? Si wamuwekee ngumu kodi zilipwe nchi isogee,bila maamuzi magumu hatufiki.
Akili yako inatope kidogo, sasa huyu "uBaba Msholozi" (Zuma) anaingiaje hapa?
 
Hawa ndio wazalendo. Hawa ndio wanaojua nchi imetoka wapi na inakwenda wapi. Huenda wanajua bila maamuzi magumu nchi itatumbukia ktk dimbwi la umaskini na mkwamo wa kiuchumi.

Sasa tunafunga na kukaza mkanda ili tusonge mbele kama nchi. Mwaka 1979 baada ya vita vya kagera Hatua kali za kiuchumi kama hizi Baba wa Taifa Mwl Nyerere ili mbidi azifanyie kazi bila kuangalia mtu usoni wala kumwonea huruma.

Mwaka 2021 tumetoka ktk vita kali. Wenye macho matatu tuliona hili zamani. Vita ile ya 2020 Oktoba haikuwa ya kitoto, imekomba pesa zote. Pesa zilitumika kununua zana za kivita, namna ya kushinda na kudhibiti washindani kwa nguvu zote. Hiyo ndio maana ya vita. Kutumia mbinu yoyote halali na haramu kumshinda adui.

Kujenga nchi sio kuimba nyimbo za Iyena iyena. Sio porojo za kukejeli na kuwazodoa wapinzani. Ni kujitoa kwa maumivu na jasho.

Dr Mwigulu umewafumbua wajinga wengi. Wengi wanaoona nchi ikisonga bila kujua namna inasongeshwa. Sasa watanzania tuwe tayari kwa haya. Waliofurahia vita ile na waliochukia vita ile 2020 Oktoba sasa haya ndio madhara.

Mama aliposema tuweke mchakato wa katiba Mpya Mpaka hapo baadae ili kupisha ujenzi wa uchumi hii ndio maana yake.
Mjinga
wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.

Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Mjinga Sana www nyambafu Sana,, Kodi huwezi pandisha kwa asilimia 120
 
Na viongozi kama wananchi tunakamuliwa hivi halafu eti tusikie fedha inaenda kununua viongozi wa vyama vya upinzani, au unatokea ufisadi wa kutisha, au mnalipana maposho ya kufulu, wakati wananchi tunaishi maisha ya shida msitegemee kuungwa mkono kwa mambo haya. Mjitafakari
awamu hii akuna wakununua.
 
Back
Top Bottom