Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

Ukiwa unalipa ada milioni 10 kwa mtoto wa primary ni rahisi kuamini watz wote ulipa ada milioni 10
Sasa kama mwanannchi analipa ada 10M kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wewe mwananchi mwingine unashindwaje kulipa elfu 5 ya tozo tu?
 
Sasa kama mwanannchi analipa ada 10M kwa mwanafunzi wa darasa la kwanza wewe mwananchi mwingine unashindwaje kulipa elfu 5 ya tozo tu?
Ukiwa na hela au Kazi ni rahisi kuamini atembeaye kwa miguu kakosa 400 ni mjinga au mvivu.
Kama watu wanakufa kwa kukosa 500 ya Panadol sababu hawana mazingira ya kuzalisha uchumi unaweza dhani ni wavivu au wazembe
 
Na hizo ndio akili na imani za wana Mataga wanaonemeka na uovu wa serikali ya ccm. Hawaamini kabisa kama kuna Mwananchi maskini. Hata wakiona mtu maskibi hudhani ni kwa ujinga wake
 
Mungu alivyo mjanja ukimwi akauweka pale kati patamu, maza naye kaona isiwe tabu kwanini akusanye kodi kwa kutumia vikosi kazi, ndo hivyo kaweka kodi pale kati patamu.
 
Mbaya zaidi huyo jamaa yako hajui hata kufafanua ni vipi hiyo pesa itasaidia yeye analeta ngonjera zisizo na msingi
 
Mungu alivyo mjanja ukimwi akauweka pale kati patamu, maza naye kaona isiwe tabu kwanini akusanye kodi kwa kutumia vikosi kazi, ndo hivyo kaweka kodi pale kati patamu.
hahahaa hata ukituma pesa kwa mchepuko itakatwa tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Tunajua kuna watu mmepewa vijisenti kuja kuandika upupu lakn nguvu ya umma ni kubwa sana
 
Mwigulu hatafanywa lolote ametumwa na system ovu iliyomfikisha hapo alipo. Mtalalamika hivi hivi ma tozo mtakatwa tu. Kama hutaki hamia somalia.
Siku akitumbuliwa itakua ni zaid ya sabaya bar zitaishiwa vinywaj nakuhakikishia
 
Uzalendo wakati mda wote yupo kwenye liV8 ,mwambie apunguze mshaara, malupulupu, atembee suzuki jimmy, ndo tuone uzalendo wake, leo mtu anaishi maisha ya peponi, tena KWA kodi zetu ,eti uzalendo,

Kama uzalendo ndo huu wa viongozi wa tz Basi bado tuna safari ndefu tz
 
Safari ni ndefu mno. Mpaka watanzania tutakapoamua. Hii ni early stage ya kujitambua. Sasa madhara ni kwa wote. Tutaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ