Kauli ya Dkt. Mwigulu Nchemba ni ya kishujaa na ya kizalendo; tunawataka akina Mwigulu 1000 kwenye taifa letu

wale tuliofurahishwa kukwepa katiba sasa tufurahie kujenga uchumi kwa kulipa kodi na kutoa matozo.

Mama SSH anaupiga mwingi sana.😅😅😅
Bohoro bohoro…nimeanza kujifunza lugha ya dokta Mpango. Burundi inatuhusu. Dunia inakwenda kasi sana. Watanzania leo wakimbizi Burundi.
 
Jamani kama tunataka nchi yetu isonge mbele kiuchumi basi tulipe kodi hakuna namna, binafsi naona hii Kodi inayolalamikiwa ndiyo inawagusa wengi inamanufaa na itatunisha mfuko vizuri. Kama vyanzo vingine vya mapato vipo mshauri basi ili mapato yapatikane na sio kulalamika tu.
 
👍👍
 
Na ww ondoka kwa shemeji yako uje na ww ulipe kodi
 
Una pepo
 
Uzalendo wa kulazimisha?
 


Kodi gani hiyo ya kupora fedha za watu??--- kodi halali ni ile inayokatwa kwenye huduma na uzalishaji kinyume cha hapo ni wizi na uporaji kupitia miamala, unaweza kuniambia hiyo kodi inakatwa kwa huduma gani serikali imetoa kwa mwenye hizo pesa???. Raia tunayohaki ya kukwepa kodi hiyo ya Wizi na njia yenyewe ni kupunguza na hatimaye kuachana na matumizi ya simu kutuma pesa.
 
Nadhani ili kuzima hoja ya Katiba Mpya Mama anaweza kumweka pembeni au kumbadilisha wizara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…