Uchaguzi 2020 Kauli ya Jaji Kaijage na yanayopangwa kufanywa na NEC kwa wagombea Urais

Hii kwangu ni tetesi kama tetesi nyingine. Lakini ukweli usiobadilika kwangu ni kuwa Magufuli hayuko tayari kwa namna yoyote ile, kuingia katika uchaguzi huu huku mshindani wake akiwa Tundu Lissu. Atahakikisha anatumia madaraka yake kuepuka ushindani ambao anajua fika utaanika madhaifu yake yote. Simply sio muumini wa ushindani kwa njia ya box la kura.
 
Tuache kutafuta huruma, Jana Kuna mtu kaleta uzi humu akitahadhalisha juu ya Lissu kuvunja sheria ya viongozi wa umma endapo atateuliwa kugombea urais, japo sijaisoma hiyo sheria lakin siamin Kama wenyewe Chadema hawajui juuu ya Hilo kwaiyo iija siku akaenguliwa kwa kuto kukidhi sifa msitafute mchawi!, Ni mistake zenu wenyewe....

Majuz akitakiwa kuwepo mahakaman mkasingizia yuko karantin ila Jana kaonekana kwenye vikao alafu mnataka sheria iwaonee huruma!
 
Hivi nchi huongozwa na Katiba au Mawazo ya mtu binafsi??
 
Kwahio na wewe unaamini kwa akili yako Lisu, kavunja sheria ya viongozi uma?. Kweli CCM hamna kitu
 
Wewe na kina Jdg Kaijange hamuitakii amani nchi hii, sioni sababu ya kutuletea vurugu ndani ya nchi yetu!!
Hayo mambo ya technicalities yalifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Tunahitaji uchaguzi wa uhuru na haki watu wapambane kwenye majukwaa sio sababu za kijinga kuwafuta wagombea!!
 
Hivi akietaka uchaguzi uhailishwe alikuwa Nani? Na Mh Raid ndiyo alisema kipindi Korona amebamba Tanzania kuwa uchaguzi lazima ufanyike na Chadema ndiyo hamkutaka uchaguzi ufanyike
 
Mkuu chadema huendeshwa na mihemuko
 
Tahadhali tu Bwa Shee
Magufuli tunafaham tangu akiwa mbunge anataka apite bila kupingwa, lakini awamu hii hata akipita apite lakini dunia nzima itafaham amepitaje na inawezekana ikawa ndio mwisho wa ccm. Tundulisu msifikiri ni kondoo kama LOWASA.
 
Kwahio na wewe unaamini kwa akili yako Lisu, kavunja sheria ya viongozi uma?. Kweli CCM hamna akili.
Watu kama nyie ndio mtaji wa akina Mbowe pale chadema!

Kuna hoja katika hii mada! Lakini yakitokea utasikia mmeonewa
 
Magufuli tunafaham tangu akiwa mbunge anataka apite bila kupingwa, lakini awamu hii hata akipita apite lakini dunia nzima itafaham amepitaje na inawezekana ikawa ndio mwisho wa ccm. Tundulisu msifikiri ni kondoo kama LOWASA.
Sasa unamtisha nani?..

Wenzenu watawapiga kwa uzembe wenu wa kutotafsiri sheria, wakati huo wewe unafikiri utaishinda ccm kwa kuleta vurugu
 
Watu kama nyie ndio mtaji wa akina Mbowe pale chadema!

Kuna hoja katika hii mada! Lakini yakitokea utasikia mmeonewa
Kwahio wewe unamzidi Lisu kuifaham sheria?. CDM ndio chama chenye mawakili Bora nchi hii tatizo kama hilo wangekuwa walishaliona, na nikufahamishe tu hio nipropaganda inayopigwa ili hata wakimuonea ionekane walionywa mapema. Nikutahadharishe tu Lisu sio kondoo Kama LOWASA.
 
Sasa unamtisha nani?..

Wenzenu watawapiga kwa uzembe wenu wa kutotafsiri sheria, wakati huo wewe unafikiri utaishinda ccm kwa kuleta vurugu
Kuna sheria ipi iliyotumika kumrudisha MWAMBE bungeni?. Kuna sheria ipi iliyoshindwa watoa wakina Silinde/Lijuakali bungeni baada yakuvuliwa uanachama?. Nakueleza tu Lisu sio kondoo kama Lowasa.
 
Hakuna haja yakurisha watu. Uchaguzi ni mchakato wa kisheria na kanuni. Ukikiuka sheria zinakuondoa tu, wala si Tume. Vyama inapaswa kufuata sheria na kanuni sio hisia.
 
Watakuwa wanawatafuta Watanzania ubaya bila sababu za msingi.Yaani wanapanga kuharibu uchaguzi kwa hila za kidhalimu.
NEC ijihadhari na kujiepusha na siasa chafu.Weka uwanja sawa,simamieni uchaguzi na mtangaze matokeo halali bila kuangalia chama.Vinginevyo mtaliingiza Taifa letu tulipendalo LA Tanzania kwenye majonzi.
 

Kwahiyo NEC ndio adui wa upinzani! Unaongea nini dogo?
 
Yote kwa Yote- kazi ya kutafsiri sheria ni ya mahakama- hayo mengine tume iwapeleke mahakamani kama ina ushahidi kwamba hawafai ; vinginenyo itakuwa Ina act utra vires-
Katiba haisemi kwamba tume ya uchaguzi ni ni mhimiri wa nne ... hilo halipo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…