Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hii kwangu ni tetesi kama tetesi nyingine. Lakini ukweli usiobadilika kwangu ni kuwa Magufuli hayuko tayari kwa namna yoyote ile, kuingia katika uchaguzi huu huku mshindani wake akiwa Tundu Lissu. Atahakikisha anatumia madaraka yake kuepuka ushindani ambao anajua fika utaanika madhaifu yake yote. Simply sio muumini wa ushindani kwa njia ya box la kura.