Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Source: Mwanahalisi

Mleta mada: Kasisi wa Chadema


Kazi ipo
 
Ndo maana ya katiba mpya,kwenye nchi yetu kuna sehemu madaraka uanawaelemea viongozi,yanakuwa makubwa mno,
Tatizo madaraka makubwa au wanaoonewa wana vipaumbele vingine? Katiba mpya itakuwa na manufaa gani kwa wapenda ubuyu, wazee wa mikeka, watu wa pisi kali, na makundi mengine ya watu useless kama hayo, ambayo unfortunately ndio asilimia kubwa ya Watanzania?
 
Hakuna atakaeshangaa Kwa maamuzi yatakayotolewa kwani malengo/madhaifu yao yamekwishaeleweka. Hata Mlengwa wao Mkuu amekwishajiandaa kisaikolojia. Nothing to loose.
 
Huyu hafai kuwa Jaji mkuu anatakiwa kuwa magereza kwa maovu yanayofanyika nchini
Na huyu ni mmoja wale walioongezwa kwenye list ya wenye kinga ya kutokushtakiwa. Ameshalewa madaraka. Nilisema kesi ya Mbowe imekuwa ya manufaa kwani tunazidi kuona mapungufu ya vyombo vya dola. Mahakama imenajisika sana kwenye kesi hii.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Wanayaona je huku kwenye jamhuri huru?

Si alisha amuru na hivyo huwa hawaangalii huku?
 
Hii nchi ni pahala salama pa kujipatia vicheko
 
Ingekuwa ni uk sasa hivi huyu mzee angekuwa kesha pewa kiinua mgongo chake akale na wajukuu wake.
 
Yaap nimeona nchi ya jirani hapo kwa uhuru nyeusi inaitwa nyeusi nadhani jaji anapaswa kuwanyoshea vidole hao majaji wake kwanza bahati nzuri hii kesi ya mchongo inawaaibisha mno
Wana aibika vibaya sana na ndiyo maana sasa hivi kila mtu anatoka kivyake ili kulinda upande wake na mwisho Hangaya atabebeshwa gunia la misumari
 
Hakuna mahakama tena ni tawi kuu la CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…