Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Hivi KWA matamshi Kama aya anadhani ataendelea kukalia kiti maisha yote, ? Hivi awa watawala wanawachukuliaje wenye nchi,
 
Tuliwaambia hii Kesi inauvua Muhimiri wa Mahakama.
Haya sasa mmebaki kuwa Wakalii tuu na Jazba juu. Chutameni sasa ndio hekima iliyobakia.
 
Leo amethibitisha kuwa yupo CCM,
Hii nchi ina viongozi wa hovyo kweli,
Rais anaita chokochoko
Spika anasema atawashughulikia ndani na nje ya bunge,
Jaji mkuu anadai wakosoaji siku zao zimekwisha,
Hivi CCM wanashangaa nini, hivi hawakujua ukitoa sauti ya mawazo mbadala Bungeni, madiwani na serikali za mtaa, SAUTI HIYO HAIFI BALI INAHAMIA MTAANI NA MITANDAONI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ndio raha ya kubaki wenyewe serikalini na bungeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au walijua watapata raha ipi
Wameshika Dola kwa 100% ila kila siku wanacheza ngoma za nje ya dola [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwenye maadili ya uwakili kuna kitu kinaitwa wajibu kwa wakili mwenzako na wajibu kwa mahakama, Jaji Mkuu alilrnga haya sana sana mawakili wamemuelewa vyema.

Wakili ni afisa wa mahakama na anawajibu kama afisa wa mahakama na pia ana wajibu kwa taaluma na wakili mwenzake.

Pale ni baba alikuwa anaongea na wanawe usimshangae akiwakemea.
 
Akishastaafu atakuja kukemea kauli kama hiyo.
 
Prof, jiulize kwanza kwanini haya yanatokea kwenye awamu yako? Huko nyuma hayakuwepo, yanatokea kwako, KWANINI? Hili Ni swali la muhimu kuliko kufura na hasira.
 
Safi sana, hata humu mawakili vishoka kila siku baada ya kesi ya mbowe ni karaha. Jaji mkuu fanya kweli
 
Jaji Kapanic kimajumuai

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hao huwa wanaambiwa mara kibao kuhusu tabia zao, lakini hawajali maana tabia zao chafu haziwekwi hadharani, acha watajwe ili tuonyeshane makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…