Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Sawa tumeona ila Julius hayupo sahihi kwa kweli amekosea
 
South Africa itself is under neocolonialism and imperialism by fellow his own blacks! and he is himself in SA!
I respect all your comments, but in this case I am afraid they are obviously carelessly thought and even creepy. Please, never forget your history!

EFF statement is right on point. Remember throughout her 70 years rule, Elizabeth neglected to acknowledge the atrocities committed all over the world under her reign. In fact, she was even proud of them. Sounds familiar?

While we should wish no one evil, we ought to remember and recount their ugly deeds generation after generation.
 
colonized mind is always blind' Malema is a smart boy , he is talking about humanity ,,,,,
 
South Africa ni mwanachama wa Commonwealth, huyo mvuta bangi mwache afurahie nafsi yake.

Statement ya South Africa itatolewa na Rais wao Ramaphosa na siyo huyu mvuta bangi anayekwenda na nguo za mafundi bungen...
Siyo suala la kufurahia kifo chake, bali kuonesha uhalisia wa historia aliyoitengeneza yeye mwenyewe.
 
Huu n
 
Sure.. Utumwa ni kuhoteana, kila race iliwai hotea race nyingine katika wakati fulani... shida ni kwamba race zingine zote zimeshamove on ila sisi ndiyo bado tunalia kila siku tunasahau kuwa na sisi tuliwai wahotea wakati fulan.
 
kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.



View attachment 2350759
Da historia ya huo umoja inaleta ukakasi. Hivi kuna kipengere kinachorusu Rais wetu wa Tanzania au Kiongozi mwingine nje ya uingereza kuwa Kiongozi Mkuu wa jumuiya ya madola.
 
Mwafrika na mwarabu walimuuza mzungu wapi?
 
Tanzania tungekuwa na viongozi makini, wakweli, wasiopenda unafiki, wasiojali matumbo yao, na wapigania kile wanachokiamini kama Malema, basi CCM ingekuwa ishaenda likizo toka miaka 7 iliyopita. Ila kwa sabab viongozi wote wa upinzani Tanzania wamejaa unafiki, uongo, wanaojali masilahi yao na ya familia zao, basi tutaendelea kuwa na upinzani butu na kibogoyo usiweza kufanya lolote ktk nchi hii na matokeo yake ni kushangaa kauli za viongozi makini na wasioendekeza unafiki na uongo kama Malema.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    24.9 KB · Views: 3
  • download.jpeg
    8.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220605-165724.jpg
    41 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220605-170119.jpg
    51.5 KB · Views: 4


Kama wewe unayo haki ya kuomboleza kwa sababu zako kwanini wengine nao wasiwe na haki hiyo hiyo kutokuomboleza kwasababu zao???!!.

Malema katoa sababu zake na mimi namuunga mkono.

Huyo Malkia alikaa kimya kupinga siasa haramu za kibaguzi za utawala wa wazungu huko South Africa, Malema anasema; she gets what she deserves as justice in the hereafter.
 
Malema aka juju hataki unafiki tuliofundishwa na wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…