Ni kweli wanashoot to the head hawana unafkiMalema huwa ninamfananisha na Mdude wa CHADEMA.
Akili zao zinafanana kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli wanashoot to the head hawana unafkiMalema huwa ninamfananisha na Mdude wa CHADEMA.
Akili zao zinafanana kabisa.
I respect all your comments, but in this case I am afraid they are obviously carelessly thought and even creepy. Please, never forget your history!South Africa itself is under neocolonialism and imperialism by fellow his own blacks! and he is himself in SA!
colonized mind is always blind' Malema is a smart boy , he is talking about humanity ,,,,,You serious? Amekwambia anatafuta kuheshimika? Heshima ya kutwezwa na kunyonywa?
If we had even a couple of strong and sound-minded individuals like him, Africa and most desperate parts of the world would have been long liberated from the dire, unrelenting shackles of neocolonialism and imperialism.
evidence!In fact, she was even proud of them
Siyo suala la kufurahia kifo chake, bali kuonesha uhalisia wa historia aliyoitengeneza yeye mwenyewe.South Africa ni mwanachama wa Commonwealth, huyo mvuta bangi mwache afurahie nafsi yake.
Statement ya South Africa itatolewa na Rais wao Ramaphosa na siyo huyu mvuta bangi anayekwenda na nguo za mafundi bungen...
A colonized young boy yourself!colonized mind is always blind' Malema is a smart boy , he is talking about humanity ,,,,,
Huu nMkuu definitely u can do better than this, tuwe tunapanua jinsi tunavyofikiri, Queen Elizabeth amefariki na within 24 hrs mrithi wake amepatikana bila migogoro, inside Malema country wana utawala huu wa kimila na toka king afariki hadi leo bado wanapigana kugombea Ile asali, na Mr Malema hajaongea hata neno moja maana Zulus sio soft target, na elewa ardhi almost yote ya kwa Zulu natal ipo chini ya king [emoji1780], Leo malema anapiga Doma kuhusu ardhi why kama ni brave enough asianze kupigania ardhi ile?,malema ni dictator
Sure.. Utumwa ni kuhoteana, kila race iliwai hotea race nyingine katika wakati fulani... shida ni kwamba race zingine zote zimeshamove on ila sisi ndiyo bado tunalia kila siku tunasahau kuwa na sisi tuliwai wahotea wakati fulan.Waarabu asili yao ni watu weusi,ni baada ya kuoana na watumwa wa kizungu,wanawake wa kizungu wa mashariki,waliokuwa watumwa ndio kukapatikana waarabu weupe.Hakuna taifa duniani,halikuwahi kufanya wengine watuma,ni mataifa yote na makabila yote,yalifanyana watumwa.
Akanyamaza.Bora ungekaa kimya.
Huna evidence ya blacks kuwauza wazungu utumwani
Natupia link ila inazingua, ngoja nipate utulivu nitarudia.Nitafutie hiki kitabu mkuu nipe hata link au pdf na Mimi nisome hio history please mkuu fanya hivyo
Mwafrika na mwarabu walimuuza mzungu wapi?Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwai uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Katika history hakuna utumwa mkali unaofikia uliofanywa na waarabu na black dhidi ya wazungu but sijawai ona Rooney akilalamika dhidi ya history hiyo ila Omtiti ndiye usiku na mchana analia na amini dhiki aliyonayo sasa haitokani na tawala anazozipigia kura kwa kuhongwa Tshet na kofia bali Malkia aliendoka miaka zaidi ya sabini iliyopita.
Mwafrika kupora rasimali za Africa na kwenda kuficha kwenye visiwa vya usherisheri si tatizo, ila aliens(non Africa) kuchukua pembe la ndovu ni jina hisiyo sahaulika kwa Mwafrika
Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2350759
I don't see black people here.Natupia link ila inazingua, ngoja nipate utulivu nitarudia.
Malema aka juju hataki unafiki tuliofundishwa na wazunguWadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2350759