Jua usiyoyajua
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 1,166
- 683
Kwa waafrika wenye akili nzuri, hawahitaji kujipendekeza kwa wazungu na wengine wote waliowatesa mababu zetu na wanaendelea kunyonya Africa kwa namna moja au nyingine.
Umasikini wa fikra ni mbaya kuliko ule wa mali. Siyo kila hoja hujadiliwa.
DuuhRoho mbaya wamekufanya Nini au wamewafanyia mabaya Gani hao unawajua?
Naunga mkono kauli ya Malema.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2350759
Bahati njema kifo hajui beberu wala nani. Huyo beberu akikuua naye siku yake ya kufa ipo.Yaani beberu akutake useme kuna mtu atakuwekea ulinzi, aisee...
Julius Malema hawezi kuwa Rais wa South Africa acha kutumia akili za kufyatulia matofali. Yeye na mdude ni radicals ambao hawajawahi kuwa viongozi wazuri kihistoria. Huwezi kuwa na kiongozi mbwatukaji na anayekurupukaKwa mtazamo wako inawezekana ila sio wote wanamtazamo wa kijinga
Ni kauli huru isiyo na chembe ya uzandiki na unafiki. Tukipata wakina Malema kumi Africa itafika inapopataka.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2351179
View attachment 2351180
Kweli kabisa, jinsi siku zinavyokwenda ndo jinsi na wao wanavyozidi kuonekana utapeli wao.Tanzania hatuna wanasiasa, tunayo matapeli.
Acha kumfananisha Malema na wanywa gongo. Malema huwa anaongea vitu vyenye fact ambavyo mtu mwenye akili timamu hawezi kupingana navyo. Kwa mfano hilo la malkia alipokosea ni wapi?Julius Malema hawezi kuwa Rais wa South Africa acha kutumia akili za kufyatulia matofali. Yeye na mdude ni radicals ambao hawajawahi kuwa viongozi wazuri kihistoria. Huwezi kuwa na kiongozi mbwatukaji na anayekurupuka
Historian imeandikwa kiwenye kitabu Gani nikasome kiongozi. Kwangu hili ni jambo jipya.Hata black people na kushirikiana na waarabu waliwahi uza wazungu kwenye magulio kama bidhaa.
Historian imeandikwa kiwenye kitabu Gani nikasome kiongozi. Kwangu hili ni jambo jipya.
Alichokisema Malema ndio ukweli halisi,ila kwa vile wewe ni mnafiki na muoga uliezoea mapambio km walivyo majority ya watz kauli hiyo kwako ni kikwazo.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2351179
View attachment 2351180
Malema ni mpuuzi mmoja tu. Fisadi anayetafuna pesa anapopata fursa za kuiba. Anacheza na akili za watu weusi haswa wale choka mbaya vinginevyo hana kabisa jipya la kuweza kumtangaza dunia nzima akaonekana ni mtu wa maana.Wadau hamjamboni nyote?
Alichoandika Malema muda mfupi uliopita kinahuzunisha sana hususani wakati huu wa msiba mzito wa Mkuu wa Taifa la Uingereza na Jumuiya ya Madola
Hebu someni wenyewe alichoandika:
"We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
Binafsi sijafurahishwa na kauli yake ambayo kimsingi inatakiwa kulaaniwa dunia nzima.
Namuombea kwa Mungu apumzike kwa amani kiongozi wetu wa Jumuiya ya Madola.
Vita amevipiga na mwendo ameumaliza.
View attachment 2351179
View attachment 2351180
Maovu mliyotendeana weusi kwa weusi ni makubwa kuliko hayo unayodai kufanyiwa na wazungu.Hakuna mazuri yanayoweza kuhalalisha uovu dhidi ya wengine.
Ni ujinga wa kiwango cha juu kubadilishana uovu na unayoyaita mazuri.