Pre GE2025 Kauli ya Kikwete uchaguzi 2025 CCM haitaweka mgombea mwingine wa Urais, labda mambo yaharibike, bado haijatimia? Nauliza tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema

CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi

Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni watanzania wote tumemwamini ili akasimamie kile wananchi tumemtuma

Kunapotokea mambo hayaendi sawa, si busara kwa kiongozi huyo kuendelea kuwepo kwenye nafasi hiyo, ni vema kupisha ili wengine waje watupeleke tunakotaka kwenda

Wananchi tunataka kuishi kwa kuifurahia nchi yetu na matunda yale Mungu ametupatia yachochee kwa wepesi uchumi wetu na yasaidie kutupunguzia ukali wa maisha

Nchi yoyote Duniani, viongozi wake wanaojinasibu kwamba nchi zao zinapiga hatua kimaendeleo, maana yake utakuta, kuna unafuu wa ghalama za maisha kwa watu wa nchi zao yanajitokeza

Tofauti na hapo, maana yake nchi haipigi hatua yoyote ya kimaendeleo, na zaidi sana utakuta uchumi unashikiliwa na watu wachache walio kwenye mnyororo wa viongozi huku wananchi wakiwa kama ngazi ya wao kuwafikisha wanapotaka

Tukisema kwamba tupo sawasawa tu, sote tunajidanganya na hakuna mwenye faida katika udanganyifu wetu huu!

Mimi ninajiuliza maswali hapa

Madini yote tumewapa wageni
Mbuga za wanyama kwa sehemu nazo tumewapa
Bahari na banddari nazo tumewapa kwa sehemu
Gesi nayo tumewapa
Mapori ya misitu nayo tumetoa
Mwendo kasi pia

Ikitokea Rasilimali zote tumewapa wageni, na kwa kuwa viongozi wa kiafrica nchi bila rasilimali hujiona kama wapo jangwani na hawana akili ya kugeuza jangwa kuwa kitu kinachozalisha, itakuwaje huko tuendako?

Hakutakuwa na mzozo mkubwa?

Licha kwamba rasilimali zetu nyingi tumewapa wawekezaji, lakini ndio kwaanza umasikini ndio unazidi kuwa mkubwa

Bado tunataka tuendelee na viongozi wasio na majibu ya watoto wetu?

Kauli ya Kikwete 2025 ifanye kazi
 
IMG-20240608-WA0130.jpg
 
Uelewa huru!

Kauli Ile ya "labda "mambo yaharibike"Ili triger intelligence ya mama kubaini kulikoni!!?

Ndipo makam wa Rais wa kificho wa 2025 wa kule Rondo akajichanganya ndipo nae akamfuata mshindani mwenzie was urais wa uchaguzi 2020!

Uelewa huru,TU,kwamba Ile kauli ilisababisha mtafutano sana!
 
Mmmh..basi sawa
 
Doh!
 
bado mapema mkuu hadi Watu waache kontena zao pale bandarini kwa kushindwa kuzikomboa si unajua DP amepandisha charge?

Mimi naziona dalili zote za mambo kuharibika
 
Attachments

  • photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
    53.4 KB · Views: 5
Uelewa huru!

Kauli Ile ya "labda "mambo yaharibike"Ili triger intelligence ya mama kubaini kulikoni!!?

Ndipo makam wa Rais wa kificho wa 2025 wa kule Rondo akajichanganya ndipo nae akamfuata mshindani mwenzie was urais wa uchaguzi 2020!

Uelewa huru,TU,kwamba Ile kauli ilisababisha mtafutano sana!
Weeee! Nchi ngumu hii.
 
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema

CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo yaharibike zaidi

Ndugu watanzania, Tanzania ni nchi yetu sote, kumchagua mtu ili awe Rais wetu, ni watanzania wote tumemwamini ili akasimamie kile wananchi tumemtuma

Kunapotokea mambo hayaendi sawa, si busara kwa kiongozi huyo kuendelea kuwepo kwenye nafasi hiyo, ni vema kupisha ili wengine waje watupeleke tunakotaka kwenda

Wananchi tunataka kuishi kwa kuifurahia nchi yetu na matunda yale Mungu ametupatia yachochee kwa wepesi uchumi wetu na yasaidie kutupunguzia ukali wa maisha

Nchi yoyote Duniani, viongozi wake wanaojinasibu kwamba nchi zao zinapiga hatua kimaendeleo, maana yake utakuta, kuna unafuu wa ghalama za maisha kwa watu wa nchi zao yanajitokeza

Tofauti na hapo, maana yake nchi haipigi hatua yoyote ya kimaendeleo, na zaidi sana utakuta uchumi unashikiliwa na watu wachache walio kwenye mnyororo wa viongozi huku wananchi wakiwa kama ngazi ya wao kuwafikisha wanapotaka

Tukisema kwamba tupo sawasawa tu, sote tunajidanganya na hakuna mwenye faida katika udanganyifu wetu huu!

Mimi ninajiuliza maswali hapa

Madini yote tumewapa wageni
Mbuga za wanyama kwa sehemu nazo tumewapa
Bahari na banddari nazo tumewapa kwa sehemu
Gesi nayo tumewapa
Mapori ya misitu nayo tumetoa
Mwendo kasi pia

Ikitokea Rasilimali zote tumewapa wageni, na kwa kuwa viongozi wa kiafrica nchi bila rasilimali hujiona kama wapo jangwani na hawana akili ya kugeuza jangwa kuwa kitu kinachozalisha, itakuwaje huko tuendako?

Hakutakuwa na mzozo mkubwa?

Licha kwamba rasilimali zetu nyingi tumewapa wawekezaji, lakini ndio kwaanza umasikini ndio unazidi kuwa mkubwa

Bado tunataka tuendelee na viongozi wasio na majibu ya watoto wetu?

Kauli ya Kikwete 2025 ifanye kazi
Ukumuelewa JK,alimaanisha kama Samia hatagusa masilahi yake na genge lake kama ambavyo Jiwe alikuwa anafanya,basi hapo mambo yatakuwa hayajaharibika.
 
Huyu mzee ,ametusabishia janga kubwa ,kisa Linda lichama lake lisizikwe , najua yupo fiti na hafikiki kirahis ila siku siku tukikutana huko mbinguni nilazima omba malaika tuzichape kama ambavyo nimekua nikisema kwa mwenda zake zitachapwa ,maana huko hakuna ulinzi wa binadam na mabunduki

Na ole wao wanikute nipewa unyampala nitawashia moto sio wa mbingu ile
 
Back
Top Bottom