Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
Unajua maana ya UNYONGE au unaropoka tu. Neno baya sana.We nae umetoka wapi hii nchi wanyonge ni wengi sana na kila nchi tu hili kundi lipo lazima watetewe kulikana ni sawasawa na kulifumbia macho tu tena kwa nchi hii ya tz wanyonge ni wengi sana
Tundu Lissu mwenyewe ameshakuwa mnyonge kwa mabeberu, na amekua akisema bila wao sisi hatuwezi kitu sasa wewe ukatae nuna ujanja gani?Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge"...
Ndiyo hirizi yao hiyo, wanayoitumiaTangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge".....
Hii kauli inanikumbushaga enzi za Mabwenyenye na Makabwela enzi zetu.Tangu kuchaguliwa kwa John Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, msamiati wa "wananchi wanyonge" umeleta mjadala mkubwa sana kwenye medani za siasa hapa nchini. Rais Mwenyewe amekuwa kila mara akihanikiza kwamba yeye ni "Rais wa wanyonge"
Ni nani hao watanzania wanyonge ambao kila mwanasiasa wa kitanzania anadai kuwatetea. Ni vigezo na sifa zipi walizonazo hao watanzania wanyonge na ni kwa nini wao tu ndiyo wanasiasa wanashindania kuwatetea?
Ni chama gani ama ni mwanasiasa gani ni nguli katika kuwapigania wananchi wanyonge!? Ni wakati gani hasa tutajua kama yanayofanywa yanafanywa kwa niaba ya wananchi wanyonge wa Tanzania?
Hahahaahahahahahahahahah........Kwani mulitegemea mabadiliko baada ya JP Kuagadunia?View attachment 1739832
Unyonge ni hali na kila mtu huwa anajisikia unyonge kwa namna yoyote ile sema kikubwa ni kupambana kuepukana na unyonge ambao wachache sana hufanikiwa kivyao lakini ni ukweli usio pingika kuwa kuna watu bila kuwasaidia kwa upole na huruma wataendelea kubaki kuwa wanyonge maisha yao yoteUnajua maana ya UNYONGE au unaropoka tu. Neno baya sana.
None senseKauli ya Raisi NI SHERIA.