Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Asee,kila ukiamka magazeti yote ni miradi ya maendeleo tu...kumbe background kuna ufisi wa kutishaPole kwa kuunga juhudi
Asee,kila ukiamka magazeti yote ni miradi ya maendeleo tu...kumbe background kuna ufisi wa kutishaPole kwa kuunga juhudi
Ww maisha yako unajiendesha kwa hasara ya bilioni 1 kwa mwaka ww
Miaka mitano iliyopita tumeibiwa sana kuliko awamu zote zilizopita!.Asee ukiitwa mnyonge pigana, mtu anatumbua 4bl anakaa nazo ndani tu. Hazina kazi tuseme. Hivi watu kama hawa rais wao ni yule yule wa wanyonge au rais wao mwingine?
Kumbe wanyonge tulikua mtaji kwa wababe, wenye nchi, wenye nguvu, wenye akili, wanasiasa 🤔🤔
4bl zinamilikiwa na mnyonge m1, je anastahili kuhitwa mnyonge kweli? Au wanyonge ni watu wa aina gani?
Mwisho wa siku familia ya mtuwa wa kimara ikapoteza watu sitaGondwe anawaambia (askari uwanja wa uhuru kwenye kuaga mwili) ..jamani waacheni hao ni wateja wetu.. haha wanyonge ni wateja wa wapenda minofu
Miaka mitano iliyopita tumeibiwa sana kuliko awamu zote zilizopita!.
HahahahahaGondwe anawaambia (askari uwanja wa uhuru kwenye kuaga mwili) ..jamani waacheni hao ni wateja wetu.. haha wanyonge ni wateja wa wapenda minofu
Kwa sasa kila mtu anatamani wezi wa JK warudi sababu pesa ilikua kitaani,hawa kina Kakoko ndio wanaumiza watu sababu wanapunguza mzunguko mitaani hali mbayaBora mafisadi ya JK wakiiba wanaleta mtaani na ajira wanatoa. Wa JPM wanaficha
Naskia mlolongo ni mkubwa sana na zikiwa nyingi TRA wanakusubiri nyumbani ukatolee maelezoAisee humu ndiyo mana tumenyooka vya kutosha yani mtu u aiba 1.6 millions of Dollar unakaa nazo home.. mimi nilienda kuchenchi dollar mia300 niliandika maelezo kama nataka kutoa mtu roho kubabake
Mm binafsi naona aliwaacha wajasiriamali ili awe huru kuiba, asipatikane wa kuhoji.kaka maisha ya tanzania ni magumu sana mkuu u binafsi au kuona mwenzio anakufa kwa kukosa kula hili ni kawaida sana kwetu,,,HUYU JAMAA KAIBA PESA NYINGI SANA KIPINDI HIKI CHA MIAKA MITANO ILIYOPITA SISI WAJASIRIA MALI WADOGO WADOGO TUMEKIONA CHA MTEMA KUNI,,
Ila Mungu FundiNatafakari sana sipati jibu!!! Huyo ndo mteule wa magufuli tunayemjua au mwingine
Kumbe ndo maana
1: Assad alitumbuliwa...