Subiria kadebraHaya mimi nakuita sasa 🗣️ MNYONGEEEE!! 😬😬😬
acha kuhamisha upepo wa mada. mbinu ya kizamani sana.Tundu Lissu mwenyewe ameshakuwa mnyonge kwa mabeberu, na amekua akisema bila wao sisi hatuwezi kitu sasa wewe ukatae nuna ujanja gani?
Mzuie kwanza Lisu kuwaabudu wazungu na kuwa mnyonge wao kisha ndo uludi kwetu hapa.
Kukubali kuitwa mnyonge ni kuidhalilisha nafsi yako. Mungu aliumba binadamu mkamilifu mwenye nguvu za mwili na ubongo.acha kuhamisha upepo wa mada. mbinu ya kizamani sana.
wanyonge wanao semwa hapa ni wanyonge haswa waliopo tz.
Wanaotumia neno hilo Wana agenda ficho nyuma unyonge unaozungumziwa.Wasalaam
Kumekua na baadhi ya watu ambao wanapenda Sana kuenzi legacy ya awamu ya tano kwa kutumia neno lililoiburiwa awamu hiyo maarufu kama "WATANZANIA WANYONGE" bila aibu ingawa tuko awamu ya sita! Sijui Wana agenda gani??
Kuna mambo mengi ya kujiuliza juu ya uharisia wa kauli ya kuwatetea wanyonge huku wengi wao wakiona Kuna kasoro mahali wanapiga kelele eti Bora angekuwepo mtetezi wa wanyonge!!!
Mathalani, unasemaje unatetea wanyonge nakati wanyonge hao hao wamerundikana mitaani wakiwa ni majobless na hauna strategic plan ya kuwaokoa??
Unasemaje unatetea wanyonge nakati unatamani hata kile ambacho wako nacho mfukoni unakitaka kiingie kwenye system yako?
Sasa unatetea wanyonge gani?????
Haya mambo ya kauli ya unyonge wa watanzania yanapumbaza Sana, yanafunga uwezo wa kufikir na yanaleta utegemezi kwa Raisi, kwa hiyo kauli hii ya unyonge imepaswa kuachwa na kutokomezwa mara moja ili Kila mtu ajue anapambana na hali yake mwenyewe.
Uwepo ila usitumiwe Vibaya kama ilivyo hivi sasaunataka tusiwe na huo msamiati kwenye lughayetu?
Kama unalipenda hilo jina litumie wewe na sii kwa watannzania,Watanzania no matajiri na utajiri kwa Kila mtu inawezekanaWewe pambalu hebu tuondolee upuuzi wako wa Bavicha hapa!
Nchi hii ina wananchi masikini wengi ambao wako kwenye kipato chini ya kiwango!
"Watanzania wanyonge" ni jina halisi ambalo lilibeba dhana na malengo ya kuwainua na kushughulikia kero za wananchi wenye hali duni.
Hii ilienda sambamba na kuwajengea uwezo wa kiuchumi kama vile ujenzi wa hospitali, madawa, elimu bure, miundombinu, mikopo nk...
Wakuu
Hivi inaingia akilini raia mtanzania ambaye ni mpiga kura, ambaye ni mlipakodi kwa nchi yake na ambaye ni mwajiri mkuu wa viongozi wetu kwa kuwapa dhamana ili watuongoze wanasimama mchana kweupe na kutuita wanyonge haya ni matusi ya reja reja.
Wakati huo huo mtu anasema sisi ni matajiri na wakati huohuo sisi hao hao ni wanyonge huku anasahau neema zote na raha zote hadi V8 na kiyoyozi anavotumia ni kodi yetu.
Wananchi tupewe heshima yetu ni afadhali watuite “ Hawa Watanzania “ AU “ Hawa Walipa Kodi “ mambo ya unyonge nayo hatutaki kuyasikia tena sio heshima na nikutukosea adabu Mimi binafsi sio Mnyonge ni mtanzania shujaa tena mlipakodi kwa nchi yangu Tanzania na napenda niitwe kama mtanzania na sio mnyonge maana mnyonge hua hana haki na ni mtu dhaifu.
Nyinyi si ndo mlikuwa mnapiga kelele za shangwe eti mmefikia level ya uchumi wa Kati??!Wewe pambalu hebu tuondolee upuuzi wako wa Bavicha hapa!
Nchi hii ina wananchi masikini wengi ambao wako kwenye kipato chini ya kiwango!
"Watanzania wanyonge" ni jina halisi ambalo lilibeba dhana na malengo ya kuwainua na kushughulikia kero za wananchi wenye hali duni.
Hii ilienda sambamba na kuwajengea uwezo wa kiuchumi kama vile ujenzi wa hospitali, madawa, elimu bure, miundombinu, mikopo nk...